Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Nioneshe mafuso na matrekta hapo! By the way hawa apa vipi wanaenda kwa miguu? View attachment 1575625
Si ajabu hapa ukiwauliza kila mmoja kalipwa jerojero la kununulia maji ya kunywa na fedha hizo Lissu kazipata kama kishika uchumba kutoka kwa yule seneta shoga rafiki yake wa USA.