Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kanda ya ziwa hawazi kumpa kura mgombea fulani,wameshajua ni raia wa Nje
 
Katika wilaya ngumu kwa ccm ni kaliua unaongea usicho kijua wilaya ya kaliua watu kilimo cha biashara ni tumbaku ambayo serikali yako wamehalibu sana hiki kilimo na kilikuwa kinawapa watu pesa sana watu walienda kumshangaa harmonize kaliua urambo msahau nyie nimetembea vijiji vingi watu wanalaani sana kwa mfano usinge ,igagala,zote,shela,maboha,mpanda mlowoka,ugwisi kombe na vingine vingi jindanganyeni tu ila watu wana hasira sana
Kaka hito,umekumbusha kwetu kabsa,hongera kwakuwapa ukwel,
 
Huw naangalia channel za youtube Lisu anapata mapokezi makubwa tu kama leo tafuta video sema sababu vyombo vya habari vimezuiwa kuripoti
Hizo nyomi za magufuli janja janja nyingi watu siku hawashtuki hapo utakuta nusu wanafunzi nusu wamesombwa na malori nusu wamefuata wasanii
Picha zenyewe sio halisi,ni za dukani.
Haiwezekani mkao wa gari na watu ni huo huo kila mahali. Ngoja nikipata muda nitaweka wazi kitu fulani.
 
Mgombea wa CCM sijafanikiwa kusikia mambo Mapya tamanishi kwa wapiga kura ukiacha LA kuifanya kigoma kuwa kama ulaya ahadi ambayo imewahi kutolewa huko nyuma na mgombea wa chama hicho.

Mambo Mapya aliyoahidi 2015 na bado kufanyika 100%

1: 50Mil kila kijiji.

2: Mahakama ya mafisadi. Jengo lipo ila sijasikia limeleta Tija kila angalau time want an grants mafisadi pesa zetu licha ya kuwa hawajulikani kisheria ni wakina nani. Hapa nampongeza.

Kwenye ufahamu wa mambo Mapya kabisa kutoka kwa mgombea anayetazamiwa na wengi kushinda kutoka CCM atuwekee hapa itusaidie kutupa matumaini
 
Ajira hajatoa toka 2015 mpaka Leo...hakika ingekuwa sio ubabe na kutumia polis wangelitoka madarakan hawatufai
 
Ajira hajatoa toka 2015 mpaka Leo...hakika ingekuwa sio ubabe na kutumia polis wangelitoka madarakan hawatufai
Natamani kupata jambo jipya kabisa naamini yapo na wadau wanayafahamu.

Hapo kwenye ajira za walimu sijui ilikuwaje na bora kozi zingefutwa ikiwa kuna upitilizo Mkubwa wa waalimu kuliko uhitaji.
Tusimlaumu labda mabeberu wamekaza
 
CCM ni kama genge lolote lile la "violent criminals" ambalo ustawi wake hutegemea sana vitisho na uporaji wa mali za raia. Wewe ebu jaribu tu kufikiria, hata kura za wananchi tu wanaiba bila ya aibu ili wazidi kubakia madarakani, sembuse waweze kuja na sera zenye kueleweka!
 
Ahadi Kubwa sana na Mpya kabisa awamu hii na inayohamasisha mgombea wa CCM achaguliwe.

Au tunategemea aliyofanya na tunamchagua ayaendeleze?
Makada mje mtusomeshe.
Ni kwa nia njrma tu
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
Ahadi Mpya kabisa Mkuu
 
Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
 
Mgombea wa chama chetu anaposema kuwa bei za mazao ya tumbaku, korosho, kahawa, pamba nk imeshuka kwa sababu ya Corona si uongo huu wa mchana kweupe kabisa? Kabla ya Korona kuingia ni lini bei ya mazao haya ilikua nzuri?

Hawa wananchi wanasikiliza maneno haya nawasikitikia sana, wafanye maamuzi kukataa maneno haya yasiyokuwa na hata chembe ya ukweli.

Hizi Fix ndizo zilizotufikisha hapa tulipo.
 
Back
Top Bottom