Huyu mzee anadhania hii nchi ni mali ya CCM, atuonyeshe kwanza cheti chake cha kuzaliwa ndio tuendelee na mambo mengine.Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Majimbo siyo mikoa jinga wewe.Singida kwa Lisu wanakotegemea kuuza alizeti wataongoza kwa umaskini Tanzania
Kuna umuhimu wa mdahalo ili wabishane kwa hoja na sisi tuchambue!Singida kwa Lisu wanakotegemea kuuza alizeti wataongoza kwa umaskini Tanzania
Wabishane NiniKuna umuhimu wa mdahalo ili wabishane kwa hoja na sisi tuchambue!
Wewe umemaliza kila kitu.mchawi wetu ni hayo uliyoyataja.Yaani zulivyokosa hivyo vitu ndio tumeangukia kwenye umaskini,ujinga na maradhi.Sasa kurekebisha hayo lazima tufumue mfumo mzima unaolea hayo matatizo miaka na miaka nakuleta mfumo mpya.Sasa kwavile ccm ndio wanaoongoza ni dhahiri wao ndio waliotufikisha hapa.... hakuna eneo la Tanzania ambalo ni maskini kwa asili yake; ni sera mbovu ndizo zimepelekea umaskini wa kutisha kwa baadhi ya maeneo kama sio nchi nzima. Nchi hii ni tajiri kila mahali - watu wapo; ardhi ipo tele kila mahali! Changamoto iko kwenye SIASA SAFI na UONGOZI BORA - as simple as that!
.... mbona una-expose ujinga? Unakubali as of now Singida kwa Lissu ni malofa na maskini wa kutupwa; ni kwa sababu ya sera ya majimbo inayoongoza nchi kwa sasa ama?Bado malofa tu umesahau kuweka kuku na mbuzi
Wewe mweupe kichwani majimbo huundwa na Mikoa inaitwa counties ndio maana hata hiyo mijimbo yenu Koko ya Chadema Ina mijimbo ya Msigwa ,sugu nkMajimbo siyo mikoa jinga wewe.
Chadema mpaka sasa chama chao kinaendeshwa kimajimbo hawana mikoa.
Mdahalo ni muhimu!Wabishane Nini
Seriikali za majimbo hapo Kenya tu zipo mtu hahitaji kwennda ulaya au Marekani kuzijua
South Africa zipo Sudan zipo Nigeria zipo Ghana zipo India zipo is not a big deal .CCM tunazijua
Mwanasheria mkuu wa Chadema, aliyempiga marufuku mgombea wao 2015 asishiriki mdahalo, leo anadai mdahaloπMulizeni Kama anaweza kujibu hoja za lisu kwa nn ataki mdahalo?
Sasa Mbona wewe ndo kilaza sana??? Mbona kwa maelezo yako tu unakiri majimbo sio mkoa???Wewe mweupe kichwani majimbo huundwa na Mikoa inaitwa counties ndio maana hata hiyo mijimbo yenu Koko ya Chadema Ina mijimbo ya Msigwa ,sugu nk
Tatizo mnaweka sera ambayo hata hamuijui inamaanisha Nini ndio maana Lisu hawezi hata kufafanua kichwani mweupe!! Hana alijualo
Kwa taatifa sera ya majimbo ilianzishwa kipindi Cha Slaa na Lowasa wakitaka Mikoa ya kaskazini ijitenge ili utajiri wote wa utalii wale wenyewe kuwa waweza ishi wenyewe!! Wajinga mkaunga mkono akiwemo Lisu
Sera ya majimbo ikitekelezwa na ccm, haitofaulu, lakini, ikitekelezwa na LISU , Ni nzuri mnoLakini yeye ni sawa kutugawa kikanda? Aache kutufanya wajinga.. Alipo sema hataendeleza baadhi ya mikoa kwa sababu hawaku mpa kura yeye alikuwa ana tekeleza mustakabali gani? Huyu baba kawehuka..
mtanyooka tu na chizi wenu mgawa majimboAsituchagulie wa kutuongoza yeye hana hati miliki ya Tanzania.
Sana!!! Hela nyingi sana ya serikali inachukuliwa na CCM na wanaitumia kwa ufedhuli wao. Ndo mana huwezi wasikia wanaunga mkono mambo yanayowapa wananchi mamlaka ya kujifanyia maendeleo na kuamua maendeleo yaoTatizo la CCM wanataka hela yote ya Tanzania waikusanye wao sehemu moja ili iwe rahisi hata kuipiga - tumeshawashtukia... "Sasaaaa ............"
RC kwenye anako shinda amepiga magoti wana tumia mfumo wa majimboAkiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Hati miliki ya Tanzania iko kwa Watanzania wenyewe ambao kupitia wawakilishi bungeni walikubali kuwapa madaraka wapiga kura kwa kupitia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Asituchagulie wa kutuongoza yeye hana hati miliki ya Tanzania.