Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Labda Mbeya bila mtwara niliona anaonyeshwa yeye tu konga halionyeshwi
 
Wasalaam,

Ni vema kila mtanzania mwenye akili timamu aliokoe Taifa kwa kuikataa ccm na kazi zake zote hapo Oct 28. CCM imezalisha maafa yafuatayo;
1. Umasikini wetu kwa miaka 60
2. Ufisadi
3. Ukanda na ukabila
4. Bora elimu
5. Nidhamu ya woga
6. Uvunjifu wa katibu
7.....

Maendeleo yana vyama.
 
Hizi ndizo hesabu, huwa haziongopi. Mwaka 2015 Magufuli aliungwa mkono na makundi mengi tena waziwazi kabisa, lakini baada ya miaka mitano, anaungwa mkono na makundi machache sana waziwazi, na anapingwa na makundi mengi. Wengi wanaompinga wanampinga kwa siri na wachache waziwazi.

Mwaka huu kazi ipo
 
Mi naona hata asingefanya kitu kingine chochote, Elimu Bure tu inatosha kumrudisha Ikulu.
 
Acha uongo, makundi mengi yaliunga mkono Chadema na Lowassa wao wakaunda ukawa, Sasa mbona unageuka kusema ni Magufuli ndo aliungwa mkono na makundi mengi?
 
k
KAMA YAPI EBU YATAJE KWANZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…