Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Lissu hatoki jalalani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kibaba hakikujaa ndoo itajaaje ?Waheshimiwa wanabodi,
Niombe kumpigia kampeni mheshimiwa John Pombe Magufuli. Sijatumwa na mtu na wala mimi sio mwana CCM, ila naona ni itakuwa vema wewe uanesoma uzi huu, ukimpatia kura yako huyu mzee.kutoka chato.
Ana mazuri yake na mapungufu pia. Tumpe amalizie miradi aliyoianzisha.
Na pia nishauri akirejea madarakani ampe Lissu nafasi ya uongozi i mean ampe uwaziri wa sheria na katiba.
Ni hayo tu nisikuchoshe.
Mitano tena itamtosha.
Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
Kupewa nafasi ni sehemu ya kuwatumikia wananchiLissu hatoki jalalani!
Fafanua mkuuKama kibaba hakikujaa ndoo itajaaje ?
Alafu sky eclat i wish. ...Jamani tuache upendeleo wa chama fulani CCM wamekosa hata vuto Msemaji wao kashakuwa vuta bang mgombea wao wa urais nae sera hana anapita mgongo wa mwamba ambaye hatikishiki.
Huo ni mtazamo wako tu. MAGUFULI. Ni mchapa kazi haswaaNani amchague tena mtu mwenye kiburi, ubaguzi, majivuno na visasi kama yule.
Lissu kampiga spana ikabidi aombe off duty siku tatu aende kwa issangoma akasafishe nyota.
Si dhaifu ni.mtendaji bora zaidi kwa AfricaMagufuli ni Rais dhaifu kuwahi kutokea Afrika.Imagine huwa anakwepa kuwa mwenyekiti wa vikao vya AU,SADC,etc.Yaani kwake hata kitu kidogo kama mdhahalo ni mtihani kwake
Mtendaji wa kuteka watu,kupiga watu risasi,kuminya uhuru wa kujieleza,kuiba rambirambi za majanga,kuiba mafao ya watu ya kustaafu,kuminya democrasia,kufanya ufisadi kupitia Mayanga contractors,kufanya ufisadi katika ujenzi wa miradi mikubwa kwa kukwepa budget isipite bungeni,etc
Kama miaka mitano watu wametekwa kwa kiasi hicho , vipi kwa miaka 10 ?
Hapana ndugu imetosha mno ingewezekana hata mwaka 2016 tungeishia hapo. Hakuna mtu anapenda mateso na unyapara kwa miaka mingine mitano inatosha!Waheshimiwa wanabodi,
Niombe kumpigia kampeni mheshimiwa John Pombe Magufuli. Sijatumwa na mtu na wala mimi sio mwana CCM, ila naona ni itakuwa vema wewe uanesoma uzi huu, ukimpatia kura yako huyu mzee.kutoka chato.
Ana mazuri yake na mapungufu pia. Tumpe amalizie miradi aliyoianzisha.
Na pia nishauri akirejea madarakani ampe Lissu nafasi ya uongozi i mean ampe uwaziri wa sheria na katiba.
Ni hayo tu nisikuchoshe.
Mitano tena itamtosha.
Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hojaWaheshimiwa wanabodi,

Waheshimiwa wanabodi,

Mkuu kwa vile ni mawazo yako huyo isayalusia usibishane nae wewe mkubalie tu, kwamba Jpm atazoa kura zote Dar. Kumbe ukweli unajulikana watu wamekaa kimya wanasubiria kufanya jambo fulani.Lisu atazoa kura nyingi dar mikutano iliyofanyika kulikuwa na muingiliano na sherehe za Simba na yanga