Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Lissu kampiga spana ikabidi aombe off duty siku tatu aende kwa issangoma akasafishe nyota.
 
Jamani tuache upendeleo wa chama fulani CCM wamekosa hata mvuto Msemaji wao kashakuwa vuta bang mgombea wao wa urais nae sera hana anapita mgongo wa mwamba ambaye hatikishiki.
 
Ni yeyeeee.....[emoji23][emoji23]
Screenshot_20200924-180943_Facebook.jpg
 
Waheshimiwa wanabodi,

Niombe kumpigia kampeni mheshimiwa John Pombe Magufuli. Sijatumwa na mtu na wala mimi sio mwana CCM, ila naona ni itakuwa vema wewe uanesoma uzi huu, ukimpatia kura yako huyu mzee.kutoka chato.

Ana mazuri yake na mapungufu pia. Tumpe amalizie miradi aliyoianzisha.

Na pia nishauri akirejea madarakani ampe Lissu nafasi ya uongozi i mean ampe uwaziri wa sheria na katiba.

Ni hayo tu nisikuchoshe.

Mitano tena itamtosha.

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
Kama kibaba hakikujaa ndoo itajaaje ?
 
Magufuli ni Rais dhaifu kuwahi kutokea Afrika.Imagine huwa anakwepa kuongoza vikao vya AU,SADC,EAC,etc.Yaani hata kitu kidogo kama mdhahalo ni mtihani kwake
 
Si dhaifu ni.mtendaji bora zaidi kwa Africa

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
Mtendaji wa kuteka watu,kupiga watu risasi,kuminya uhuru wa kujieleza,kuiba rambirambi za majanga,kuiba mafao ya watu ya kustaafu,kuminya democrasia,kufanya ufisadi kupitia Mayanga contractors,kufanya ufisadi katika ujenzi wa miradi mikubwa kwa kukwepa budget isipite bungeni,etc
 
Waheshimiwa wanabodi,

Niombe kumpigia kampeni mheshimiwa John Pombe Magufuli. Sijatumwa na mtu na wala mimi sio mwana CCM, ila naona ni itakuwa vema wewe uanesoma uzi huu, ukimpatia kura yako huyu mzee.kutoka chato.

Ana mazuri yake na mapungufu pia. Tumpe amalizie miradi aliyoianzisha.

Na pia nishauri akirejea madarakani ampe Lissu nafasi ya uongozi i mean ampe uwaziri wa sheria na katiba.

Ni hayo tu nisikuchoshe.

Mitano tena itamtosha.

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
Hapana ndugu imetosha mno ingewezekana hata mwaka 2016 tungeishia hapo. Hakuna mtu anapenda mateso na unyapara kwa miaka mingine mitano inatosha!
 
Waheshimiwa wanabodi,

Niombe kumpigia kampeni mheshimiwa John Pombe Magufuli. Sijatumwa na mtu na wala mimi sio mwana CCM, ila naona ni itakuwa vema wewe uanesoma uzi huu, ukimpatia kura yako huyu mzee.kutoka chato.

Ana mazuri yake na mapungufu pia. Tumpe amalizie miradi aliyoianzisha.

Na pia nishauri akirejea madarakani ampe Lissu nafasi ya uongozi i mean ampe uwaziri wa sheria na katiba.

Ni hayo tu nisikuchoshe.

Mitano tena itamtosha.

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja
 
Sababu kubwa uliyoitoa ni kuwa amalizie miradi aliyoianzisha, sasa tuambie
1. Je unauhakika kwa hiyo 5 hiyo miradi yote ataimaliza? Je reli ambayo kwa miaka 5 imetoka tu Dar hadi Moro, Je kwa 5 ijayo itafika Mwanza?

2. Na je asipomaliza, utatutaka tufanyeje?

3. Unataka kutuaminisha kuwa, miradi ilianzishwa na rais X, akiingia Y hawezi kuiendeleza?

4. Je alivyofanya Magu vyote amevianzisha yeye? Mfano Daraja la Kigamboni, miradi ya barabara, nk.
Waheshimiwa wanabodi,

Niombe kumpigia kampeni mheshimiwa John Pombe Magufuli. Sijatumwa na mtu na wala mimi sio mwana CCM, ila naona ni itakuwa vema wewe uanesoma uzi huu, ukimpatia kura yako huyu mzee.kutoka chato.

Ana mazuri yake na mapungufu pia. Tumpe amalizie miradi aliyoianzisha.

Na pia nishauri akirejea madarakani ampe Lissu nafasi ya uongozi i mean ampe uwaziri wa sheria na katiba.

Ni hayo tu nisikuchoshe.

Mitano tena itamtosha.

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
 
Lisu atazoa kura nyingi dar mikutano iliyofanyika kulikuwa na muingiliano na sherehe za Simba na yanga
Mkuu kwa vile ni mawazo yako huyo isayalusia usibishane nae wewe mkubalie tu, kwamba Jpm atazoa kura zote Dar. Kumbe ukweli unajulikana watu wamekaa kimya wanasubiria kufanya jambo fulani.
 
Back
Top Bottom