kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Mungu hutenda miujiza wakati wowoteMimi naamini.
Kuna watu wanaamini vinginevyo.
Wengi wanaamini kuna watu wachache wasiojulikana huamua hatma ya nani awe kiongozi licha ya watu kupiga kura.Hii husababisha wengi kutoshiriki haki ya kupiga kura.
Sasa ninawaomba watanzania wenzangu,twende tukapige kura na Mungu pekee ndiye mwamuzi.
Yeyote atakayejaribu kupingana naye,yeye anazo njia nyingi za kumzuia.
Mungu hana upendeleo na atakalo mola huwa
Uchaguzi huu ni wa kihistoria. Ole wake atakayeuvuruga, awe Magufuli au TUME zake za ZEC na ZEC. Watavuna hasira za Mungu na za RAIA kwa pamoja mpaka kujuta kuwepo duniani.Mimi naamini.
Kuna watu wanaamini vinginevyo.
Wengi wanaamini kuna watu wachache wasiojulikana huamua hatma ya nani awe kiongozi licha ya watu kupiga kura.Hii husababisha wengi kutoshiriki haki ya kupiga kura.
Sasa ninawaomba watanzania wenzangu,twende tukapige kura na Mungu pekee ndiye mwamuzi.
Yeyote atakayejaribu kupingana naye,yeye anazo njia nyingi za kumzuia.
Mungu hana upendeleo na atakalo mola huwa
Mkuu kibaravumba , naunga mkono hoja, haswa ukizingatia ni kwa miaka mingi, Watanzania tumekuwa tukimlilia Mungu, atupe kiongozi wa aina fulani ili kuliokoa taifa letu Tanzania lililofanywa shamba la bibi kwa muda mrefu, kisha Mungu akajibu maombi, akatupatia kiongozi chaguo la Mungu, hivyo ndicho hicho hicho anachokwenda kutenda hiyo tarehe 28 OctoberMimi naamini.
Kuna watu wanaamini .
Sasa ninawaomba watanzania wenzangu,twende tukapige kura na Mungu pekee ndiye mwamuzi.
Yeyote atakayejaribu kupingana naye,yeye anazo njia nyingi za kumzuia.
Mungu hana upendeleo na atakalo mola huwa
P ktk ubora wako wa Sasa!Mkuu kibaravumba , naunga mkono hoja, haswa ukizingatia ni kwa miaka mingi, Watanzania tumekuwa tukimlilia Mungu, atupe kiongozi wa aina fulani ili kuliokoa taifa letu Tanzania lililofanywa shamba la bibi kwa muda mrefu, kisha Mungu akajibu maombi, akatupatia kiongozi chaguo la Mungu, hivyo ndicho hicho hicho anachokwenda kutenda hiyo tarehe 28 October
P
Naona ndo umekamatia shift yako mapema kabusa hapo center ili uharishe kwa siku nzima ya leo.Zipo historia nyingi Rais Magufuli anaenda kuziweka kwani tarehe 28 anaenda kuwashinda Wapinzani wake ambao ni picha(Image and puppets) za mabeberu.
Ushindi wa Magufuli Oktoba 28 utakuwa ni ushindi wa wana Africa.
Thread hii ibakie kwa ajili ya kufunza vizazi vijavyo.
Kwa yeyote mwenye akili timamu na uwezo wakuzitumia katika kujitafutia, hawezi kuishabikia CCM kwa wakati huu.Nionavyo kadiri siku zinavyoenda Mgombea wa urais kupitia CHADEMA ndio gumzo kila kona nchini, CCM imekuwa Iko bize kujibu Sera za Tundu Lissu. Huyu mwamba anaeleweka ukimsikiliza na ukiyapima maelezo yake ni ukweli mtupu.
Alichokonoa vitambulisho vya wajasiriamali, CCM wiki Sasa wanapambana KUUHARIBU ukweli Lakin wameshachelewa, hawaelewek labda warudishe 20000/= za wajasiliamali walizojitwalia kibabe ndio itakuwa suruhu.
Wewe kunauwezekano Wazazi wako hawajawahi kukutana na kipigo cha Mgambo wa jiji na liwe jiji linaliongozwa na hao unaowasikilizaNionavyo kadiri siku zinavyoenda Mgombea wa urais kupitia CHADEMA ndio gumzo kila kona nchini, CCM imekuwa Iko bize kujibu Sera za Tundu Lissu. Huyu mwamba anaeleweka ukimsikiliza na ukiyapima maelezo yake ni ukweli mtupu.
Alichokonoa vitambulisho vya wajasiriamali, CCM wiki Sasa wanapambana KUUHARIBU ukweli Lakin wameshachelewa, hawaelewek labda warudishe 20000/= za wajasiliamali walizojitwalia kibabe ndio itakuwa suruhu.
umepanicMleta mada unaongelea watu gani?
Mleta mada mbona kichwa Cha Uzi hakiendani na content ya Uzi wenyewe?
Mleta mada ni vyema ungeanza kupiga mswaki kwanza na kuosha tongo tongo za asubuhi ndo ukaanzisha Uzi.
Mleta mada nakushauri uachane na ndoto zako za alfajiri uamuke tu usije ota UNAKOJOA bafuni ukaharibu Kazi maana ndo unakoelekea.
Mleta mada uwe na alfajiri njema na Mungu akujalie Aendelee kukutoa huo uzwazwa ulioko kichwan mwako.
Mleta mada Sina mengi zaidi ya hayo
ahsante
Rudisha 20 alfu za watu bro, watu wakuelewe kama na wewe ni mshirika.Mleta mada unaongelea watu gani?