Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mimi naamini.

Kuna watu wanaamini vinginevyo.

Wengi wanaamini kuna watu wachache wasiojulikana huamua hatma ya nani awe kiongozi licha ya watu kupiga kura.Hii husababisha wengi kutoshiriki haki ya kupiga kura.

Sasa ninawaomba watanzania wenzangu,twende tukapige kura na Mungu pekee ndiye mwamuzi.

Yeyote atakayejaribu kupingana naye,yeye anazo njia nyingi za kumzuia.

Mungu hana upendeleo na atakalo mola huwa
 
Mungu hutenda miujiza wakati wowote
 
Uchaguzi huu ni wa kihistoria. Ole wake atakayeuvuruga, awe Magufuli au TUME zake za ZEC na ZEC. Watavuna hasira za Mungu na za RAIA kwa pamoja mpaka kujuta kuwepo duniani.
 
Mimi naamini.
Kuna watu wanaamini .

Sasa ninawaomba watanzania wenzangu,twende tukapige kura na Mungu pekee ndiye mwamuzi.

Yeyote atakayejaribu kupingana naye,yeye anazo njia nyingi za kumzuia.

Mungu hana upendeleo na atakalo mola huwa
Mkuu kibaravumba , naunga mkono hoja, haswa ukizingatia ni kwa miaka mingi, Watanzania tumekuwa tukimlilia Mungu, atupe kiongozi wa aina fulani ili kuliokoa taifa letu Tanzania lililofanywa shamba la bibi kwa muda mrefu, kisha Mungu akajibu maombi, akatupatia kiongozi chaguo la Mungu, hivyo ndicho hicho hicho anachokwenda kutenda hiyo tarehe 28 October
P
 
CCM kutegemea tume na polisi watavuna walichopanda, sauti ya umma ni sauti ya Mungu.
 
Mkuu kibaravumba , naunga mkono hoja, haswa ukizingatia ni kwa miaka mingi, Watanzania tumekuwa tukimlilia Mungu, atupe kiongozi wa aina fulani ili kuliokoa taifa letu Tanzania lililofanywa shamba la bibi kwa muda mrefu, kisha Mungu akajibu maombi, akatupatia kiongozi chaguo la Mungu, hivyo ndicho hicho hicho anachokwenda kutenda hiyo tarehe 28 October
P
P ktk ubora wako wa Sasa!
Hebu Soma hii then unipe maoni!
Juzi nilikuwa kijijini fulani Mikoa ya Pwsni..
Nikutana na mama mmoja Nesi vyeti feki aliyetumbuliwa ..Ameishi katka Kijiji alichofanyia kazi kwa miaka 30!
Nilielezwa kuwa kwa miaka yote 30 yeye pale amekuwa Ni Daktar Bingwa wa Moyo,magonjwa ya nje na ndani! Mtaalamu wa upasuaji,gyno, mtaalamu wa watoto,Mfamasia ,mkunga,mhudumu wa Afya ,mtaalamu wa Lishe na Afisa Ustawi wa Jamii....kiufupi yeye Ni Kama Mganga Mkuu wa Serikali ya Kijiji...si ajabu Waziri wa Afya!
Leo Bibi huyu ametumbuliwa kwa kosa la kukosa cheti Cha Form Four.Alinieleza kuwa alisoma kwa shida kwao Ukerewe ,lakini hkufnya vizuri mitihani akatafura cheti Cha mtu akaenda kusoma cheti Cha Nurse!
Bahati nzuri anatambua kuwa kutumia cheti Cha mtu Ni kosa!
Kwa Nini nimekuletea simulizi hii!
Ni like nilichokisikia kutoka kwa wanakijiji kumhusu Mama huyu!
Wao hawaelewi kuwa huyu Mtaalamu wao Ni feki...wanasema wanamuona Kama Mungu wao kwa Utumishi ulitukuka alio utoa pale kijijini kwa miaka 30!
Wanasema haijawahi kutokea...watumishi wenzake walikuwa wakiletwa pale wanaacha kazi !
Alikuwa anafanya kazi kuanzia saa 2 Hadi saa 11,Jumapili ana jumamosi alikuwa available!
Kijiji pale kina makumi ya watoto wanaitwa jina lake Kama hesshima yake kwa kazi ya ukunga!
Baada ya kubaini kuwa mama yule kafukuzwa kazi Wazee wa Kijiji walimwambie isiwe shida wewe umetumia maisha yako yote hapa ukituhudumia ,ulikuws huwezi kwenda shamba Wala biashara:
Kwa kifupi Wazee waluchangishana mabati kadhaa,vijana wajampa tofali ...mafundi wajasimsmisha nyumba ya Daktari mtukuks wa Kijiji!
Cha ajabu wamemjengea nyumba si mbali na Zahanati! ambayo Sasa haina Mtumishi!🤭🤭🤭 Baada ya watumishi 2 walioletwa kuacha kazi!
Wale wanakijiji wanamuona mtu aliyemtumbua kazi Daktari wao kuwa ni Hamnazo!!
Sasa kuwashawishi watu Hawa kuwa ...Kuna chaguo la Mungu......!
 
Zipo historia nyingi Rais Magufuli anaenda kuziweka kwani tarehe 28 anaenda kuwashinda Wapinzani wake ambao ni picha(Image and puppets) za mabeberu.
Ushindi wa Magufuli Oktoba 28 utakuwa ni ushindi wa wana Africa.
Thread hii ibakie kwa ajili ya kufunza vizazi vijavyo.
 
Jipe moyo ndugu ni haki yako
Sasa kanda ya ziwa lisu ametake over nyie endeleeni kulala na kujitapa mitandaoni.
 
Wewe nawe unakela, huyo jiwe wako anafokafoka nani ampe kura? Makundi muhimu yote yamemkataa, wafanyakazi, wavuvi, wafugaji, wakulima, wafanyabiashara, hadi wajasiliamali . kura atazipata wapi? Think big.
 
Labda ushindi wake utokane na ma DED aliowaita chamwino juzi ila wananchi wamemkataa kabisa
 
Zipo historia nyingi Rais Magufuli anaenda kuziweka kwani tarehe 28 anaenda kuwashinda Wapinzani wake ambao ni picha(Image and puppets) za mabeberu.
Ushindi wa Magufuli Oktoba 28 utakuwa ni ushindi wa wana Africa.
Thread hii ibakie kwa ajili ya kufunza vizazi vijavyo.
Naona ndo umekamatia shift yako mapema kabusa hapo center ili uharishe kwa siku nzima ya leo.

Nikutakie tu kibarua chema maana wenzako ndo tumetoka kwenye starehe mida hii tunaenda kupumzika.

NB: ukifikisha nyuzi 30 leo namimi ntakuongeza elf 5 ya soda.

Allah akuponye ukaukung'ute ufukara wako.
 
Nionavyo kadiri siku zinavyoenda Mgombea wa urais kupitia CHADEMA ndio gumzo kila kona nchini, CCM imekuwa Iko bize kujibu Sera za Tundu Lissu. Huyu mwamba anaeleweka ukimsikiliza na ukiyapima maelezo yake ni ukweli mtupu.
Alichokonoa vitambulisho vya wajasiriamali, CCM wiki Sasa wanapambana KUUHARIBU ukweli Lakin wameshachelewa, hawaelewek labda warudishe 20000/= za wajasiliamali walizojitwalia kibabe ndio itakuwa suruhu.
 
Kwa yeyote mwenye akili timamu na uwezo wakuzitumia katika kujitafutia, hawezi kuishabikia CCM kwa wakati huu.
#NiYeye
 
Watu wamechoshwa na Vyote viwili kwa kweli,shida ni za miaka 60 sasa,tatizo kubwa ni mfumo wa utawala wa kikoloni/kifalme hatuwezi kutoka hapa
Mfumo huu hautoi haki,ni kandamizi hautoi uhuru na hautaweza kuleta maendeleo hata kwa zaidi ya miaka 100
 
Hii nimeielewa vema
IMG-20200926-WA0005.jpg
 
Mleta mada unaongelea watu gani?

Mleta mada mbona kichwa Cha Uzi hakiendani na content ya Uzi wenyewe?

Mleta mada ni vyema ungeanza kupiga mswaki kwanza na kuosha tongo tongo za asubuhi ndo ukaanzisha Uzi.

Mleta mada nakushauri uachane na ndoto zako za alfajiri uamuke tu usije ota UNAKOJOA bafuni ukaharibu Kazi maana ndo unakoelekea.

Mleta mada uwe na alfajiri njema na Mungu akujalie Aendelee kukutoa huo uzwazwa ulioko kichwan mwako.
Mleta mada Sina mengi zaidi ya hayo
ahsante
 
Nionavyo kadiri siku zinavyoenda Mgombea wa urais kupitia CHADEMA ndio gumzo kila kona nchini, CCM imekuwa Iko bize kujibu Sera za Tundu Lissu. Huyu mwamba anaeleweka ukimsikiliza na ukiyapima maelezo yake ni ukweli mtupu.
Alichokonoa vitambulisho vya wajasiriamali, CCM wiki Sasa wanapambana KUUHARIBU ukweli Lakin wameshachelewa, hawaelewek labda warudishe 20000/= za wajasiliamali walizojitwalia kibabe ndio itakuwa suruhu.
Wewe kunauwezekano Wazazi wako hawajawahi kukutana na kipigo cha Mgambo wa jiji na liwe jiji linaliongozwa na hao unaowasikiliza
 
Mleta mada unaongelea watu gani?

Mleta mada mbona kichwa Cha Uzi hakiendani na content ya Uzi wenyewe?

Mleta mada ni vyema ungeanza kupiga mswaki kwanza na kuosha tongo tongo za asubuhi ndo ukaanzisha Uzi.

Mleta mada nakushauri uachane na ndoto zako za alfajiri uamuke tu usije ota UNAKOJOA bafuni ukaharibu Kazi maana ndo unakoelekea.

Mleta mada uwe na alfajiri njema na Mungu akujalie Aendelee kukutoa huo uzwazwa ulioko kichwan mwako.
Mleta mada Sina mengi zaidi ya hayo
ahsante
umepanic
 
Rudisha 20 alfu za watu bro, watu wakuelewe kama na wewe ni mshirika.
 
Back
Top Bottom