Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Lisu hana kura za kufanya tume ipindishe matokeo.

Kwanza kashaenda kwa Seif zanzibar kuchukua mbinu za ccm za ushindi?
Kama hana hizo kura kinachofanya mnapiga Fiesta ni nini?
 
Niko maeneo hayo pia hakuna kitu kama hicho.
Ukija nijulishe tuonane, usidanganye watu
 
Wanaochagua hawana nguvu kama wanaotangaza matokeo.Tanzania kiongozi hachaguliwi,anatangazwa
Sio kila debe nila unga.. nyie fanyeni yote lkn sanduku la kura msiliguse kabisa.

Dodoma itakuwa dampo aisee
 
Yahya Jameih alimiliki Hadi tume lakini wananchi walipoamua alipigwa na tume yake.
Chance ya kuiba this time haipo uzuri bingwa wa wizi amepumzika kijijini kwake lupaso ccm this time bye bye.
Lisu hana kura za kuibiwa.

Lisu ni debe tupu
 
Maisha magumu!mzunguko wa fedha wamekaba !!!Bei zimepanda sana!!HAKIKA VETING YA JIWE NI JANGA KUBWA KWENYE HISTORIA YA NCHI YETU??!
Mzee wa lupaso baada ya kukwapua nyumba za serikali ikiwemo kuwagawia hadi mahawara zao akaamua kumuweka mwizi mwenzake ili amlinde kwa kutuletea dereva kanjanja mwenye leseni feki abiria tumegoma turudishiwe nauli.
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
 
Umeanza kuuchafua uzi mapema hivi,ungesubiri ukoment baadae ili comment yako iwe ya mwisho huko ili wasoma comment wasiifikie
Shida yako unataka uwe unaona coment zinazokupa matumaini kwamba Lisu anashinda basi.
Ukitaka hizo nenda kwenye magroup yenu ya bavicha
 
Umepewa laki moja uje mtandaoni kuongea upuuzi ...mnapopewa hela wawape na hoja za kuja kubishana mtandaoni
Mlivyoagizwa nyie hapo ufipa mnafikiri kila mtu anaagizwa?

Subirini oktoba mtafurahi zaidi
 
Mzee wa lupaso baada ya kukwapua nyumba za serikali ikiwemo kuwagawia hadi mahawara zao akaamua kumuweka mwizi mwenzake ili amlinde kwa kutuletea dereva kanjanja mwenye leseni feki abiria tumegoma turudishiwe nauli.
Unawaonea wivu hao mahawara waliogawiwa nyumba?
 
Field ipi?
Field ya kwenye account twiter ya kigogo?

Lisu ni debe tupu.

Baada ya oktoba mtajua udebe tupu wa Lisu.

Kiufupi Lisu ndio mgombea atakae tia aibu kwa kupata kura chache kuliko wagombea wote waliowahi kugombea chadema.
Tanzania kuna kushinda na kushindishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…