Yahya Jameih alimiliki Hadi tume lakini wananchi walipoamua alipigwa na tume yake.Wanaochagua hawana nguvu kama wanaotangaza matokeo.Tanzania kiongozi hachaguliwi,anatangazwa
Chance ya kuiba this time haipo uzuri bingwa wa wizi amepumzika kijijini kwake lupaso ccm this time bye bye.