Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

mm pia nimeshindwa ndugu
 
Tunaomba ujiandae kisaikolojia kumsikiliza tena mwezi wa 11 akihutubia taifa
 
mnamaanisha mzee baba anaongea pumba ama vipi!?
atakuja kuwaachia laana nyinyi ohooo mimi simo
🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
 
Ndege,stigla, SGR kila siku hadi sio poa,, vipi swala la ajira kwa vijana,sera za kuisadia sekta binafsi ikue baada ya kusinyaa kwa miaka yake mitano ya kwanza. Kilimo, utawala bora unaofuata sheria? Pia apunguze wale magwanda na mabunduki yao ili ajenge ukaribu na wapiga kura,sijawahi kuona raisi wa Tanzania analindwa vile from mwinyi,mkapa hadi Kikwete.
 

Chakaza;

Si ungesema umeona na kusikia nini kilichokuchosha kuanzia dakika 10?
 
Magufuli sasa hivi anatoa speech akiwa hana amani moyoni, anajua kuna watu karibu yake wanamhujumu, anahutubia kwa ukali utadhani wanaomsikiliza ni watoto wake.

Sijui nani alimdanganya anakubalika nchi nzima, sasa kazi kwake ndio anauona ukweli.
 
Binafsi kada yoyote wa Ccm akisimama, siwezi kupoteza hata dakika moja kumsikiliza. Waongo tu hawa. Wanaongea data za uongo muda wote
 
LISSU UKIENDA KWENYE HIYO TUME UWE MAKINI MNO MNO NA SUALA LA USALAMA WAKO. BARABARANI NDIO MZIDISHE UMAKINI, WAKATI WA KWENDA NA KURUDI. YULE MTU WA CAMERA ASISAHAULIKE.
Lisu ameshasema Haendi kwenye huo wito maana hajapokea taarifa ya maandishi na pia akipata atatakiwa kujibu kwa maandishi ndani ya saa 48 kwa mujibu wa sheria ...aisee huyu lisu waache tu kusumbua vinginevyo anatumia fimbo zao kuwachapia....ukisikiliza kampeni zoke hutamani kuacha kumsikiliza na kwa mwendo ule hata kama angekuwa anaambatana na wasanii sidhani kama wangepata wasaa wa kutumbuiza.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sijaangalia video yake akiwa iringa leo lakini picha nimeziona nyingi ...something is wrong with his health but to large extent his psychology iko na shida ...his body language speaks a lot jamaa anadepression jumlisha inferiority aliyokuwa nayo..unamwonea huruma kwa kweli ..huku lisu ndo hana mpango hata wa kulegeza spana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hawa CCM bwana, mbwembwe za kitoto ila ni zero tuu.

Ooh tumezindua kampeni awamu ya tatu...Sasa hapo mmezindua nini kama mambo ni yale yale? Maana naona ni misemo ile ile, wasanii kama kawaida, staili ile ile. Yani hakuna jipya. Eti na wanasema zipo awamu sita.

Sasa kila mkutano ni lundo la wasanii mpaka mkutano wa kata dah!

Bashiru kiukweli umechoka sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…