Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Duh,huruhusiwi kuondoka?[emoji29][emoji29][emoji29]
 
Kamanda usiechoka kutoka CCM hawa siyo watoto wa shule na wameenda hapo kwenye kampeni kwa hiara yao wenyewe ndiyo maana unaona wana furahaa.Kamanda usiyechoka kutoka CCM hapa tunazungumzia wale watoto wa shule ambao hukatizwa masomo yao na CCM na kusumbwa kwa malori,matractor pamoja na fuso na kupelekwa kwenye kampeni kwa lazima tena wakiwa kabisa kwenye uniform zao za shule.
 
Weka picha kamanda ya watoto wamepanda malori.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Chadema bwana,Yani watoto wakiwa kwenye kampeni za CCM,inakuwa story inayotolewa kwa mtazamo hasi,Ila wakiwa kwenye kampeni za mgombea wenu,mnawapamba kwa kadri muwezavyo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Mkuu Mwanza iondoe kabisa hapo.Hivi bado hamjifunzi tu jamaniπŸ˜‚? 2015 mlisema mwanza mtapata kura, mlichukua majimbo mangapi? Sijui hizi takwimu huwa mnatoa wapi? Ile miradi inayoendelea kwasasa kule Mwanza inamhitaji sana alieianzisha ili isijekutelekezwa na huyu anaedai kuwa hiyo miradi sio kipaumbele chake.Endeleeni kufarihiana tu hapa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Chadema bwana,Yani watoto wakiwa kwenye kampeni za CCM,inakuwa story inayotolewa kwa mtazamo hasi,Ila wakiwa kwenye kampeni za mgombea wenu,mnawapamba kwa kadri muwezavyo.[emoji23][emoji23][emoji23].
Haujaelewa!Sisi tunalaani kitendo cha CCM kukatiza watoto masomo tena kuanzia asubuhi hadi jioni kisa wakaongeze vichwa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nhiiiiiiiiiiii nimecheka kimagufuli kabisa.Yani hao watu wote Ni wanafunzi na wafanyakazi,tena sehemu yenyewe ni KaliuaπŸ€”, mmh aiseeh watu mnajua kujipa faraja kwakweli
 
Hujui Ccm huwa wana machipukizi? Haya ndio baadae huwa viongozi. Sisi Chadema tunakwama sana.
Kamanda usiechoka kutoka CCM ni sheria ipi inasema kuwa watoto wakatizwe masomo yao tena kuanzia asubuhi hadi jioni kisa wakaongeze vichwa kwenye kampeni?Kamanda usiyechoka kutoka CCM huu siyo unyanyasaji wa watoto wetu?
 
Haya haya walimu waliosoma ngazi Ya cheti serikali haiwatambui mnaakiwa mkasome tena na Kama hamtaki mtafukuzwa
 
Kamanda usiechoka kutoka CCM ni sheria ipi inasema kuwa watoto wakatizwe masomo yao tena kuanzia asubuhi hadi jioni kisa wakaongeze vichwa kwenye kampeni?Kamanda usiyechoka kutoka CCM huu siyo unyanyasaji wa watoto wetu?
Hilo la kukatiza watoto sina uhakika nalo,lakini mimi kusema kweli usinibeze kuwa ni mwanaCcm.
 
Hilo la kukatiza watoto sina uhakika nalo,lakini mimi kusema kweli usinibeze kuwa ni mwanaCcm.View attachment 1584460
Kamanda usiechoka kutoka CCM huyo dogo hapo hajalazimishwa kwenda kwenye kampeni na ameenda baada ya masomo yake,muone hapo anavyofurahia chadema.Kamanda usiechoka kutoka CCM hapa tunazungumzia watoto wa shule wanaokatizwa masomo yao kuanzia asubuhi hadi jioni na kulazimishwa kwenda kwenye kampeni za CCM kuongeza vichwa
 
[SUB]Kazi kweli kweli, wagombea wetu waongo sana. Kwahiyo Corona imegeuka kua mtaji wa wanasiasa?[/SUB]
Kama jinsi ambavyo mlijaribu kuifanya mtaji wa kisiasa wakati ule Mgufuli na serikali yake anaishughulikia,ndivyo jinsi ambavyo yeye ameamua kuitumia kisiasa baada ya ushindi kupatikana.Kwahiyo tulieni Sindano isije katikia kwenye tako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…