Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kwenye picha umewezaje kujua kama dogo katoka shule? 😂😂😂
 
Dk MAGUFULI kesho anatua MBEYA Chadema matumbo moto
majidai yenu yanaenda kuzimwa kesho mbeya
Kuanzia Igawa Hadi Igurusi naamini Magufuli atazomewa Sana.

Home boy hapo sae na mama John msiniangushe!

Oyaaaa Wana wa doksi kabwe na nzovwe fanyeni huyo mzee aondoke na simanzi hapo Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…