Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
Upuuzi!Nimetafakari kwa kina kuhusu uchaguzi wa tarehe 28.10.2020 kwa maoni yangu ni bora JPM achaguliwe tena ili apate fursa ya kumalizia miradi iliyopo.
Iwapo kuna mapungufu yoyote naamini amesikia kilio cha wananchi atarekebisha kasoro hizo kwa vile uongozi ni pamoja na mafanikio na changamoto.
Mtu aliyebadilika atatamkaje wazi wazi kuwa atajenga miradi kwa upendeleo?
Atashindwa vipi kukiri kwa kinywa chake hata aahidi kubadilika kupitia midomo ya watu ?
Huyo kabadilika kweli? Labda uweke ushahidi wa unachokizungumza