Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Upuuzi!
Mtu aliyebadilika atatamkaje wazi wazi kuwa atajenga miradi kwa upendeleo?

Atashindwa vipi kukiri kwa kinywa chake hata aahidi kubadilika kupitia midomo ya watu ?

Huyo kabadilika kweli? Labda uweke ushahidi wa unachokizungumza
 
Magufuli sio 'contractor' wa miradi na wala sio 'consultant', na pesa ya kumalizia miradi ni kodi zetu! ... SEMA JINGINE!
😅
👊 ✌✌✌💥
Je nani mwenye utashi wa kisiasa kuisukuma miradi hiyo iishe mbali na wakandarasi? Siyo JPM
 
Upuuzi!
Mtu aliyebadilika atatamkaje wazi wazi kuwa atajenga miradi kwa upendeleo?

Atashindwa vipi kukiri kwa kinywa chake hata aahidi kubadilika kupitia midomo ya watu ?

Huyo kabadilika kweli? Labda uweke ushahidi wa unachokizungumza
Ushahidi gani tena miradi inazungumza
 
Mkuu katiba haisemi ni lazima rais achaguliwe vipindi viwili! Na wala hakuna sheria hata moja ambayo inamlazimisha kiongozi kumalizia miradi aliyoianzisha, hii ndio sababu hata yeye mwenyewe kamalizia baaddhi ya miradi iliyoasisiwa na watangulizi wake, mingine ni ya toka serikali ya awamu ya tatu!
Hivyo hizi kauli za kusema kiongozi aachwe amalizie miradi flani aliyoianzisha hata kama hawamtaki, ni ulaghai kwa wapiga kura!
Wakati serikali ya awamu ya tano ikijinasibu kufanya mambo makubwa ya maendeleo, lakini wananchi wengi wanailaumu na kuilaani serikali kwa matendo mengi ya ukiukwaji wa haki pamoja na kuongeza ugumu wa maiksha.
Hivyo kwa nchi zilizoendelea, serikali ingejiuzulu hara sana kwa manufaa ya wananchi!
 
Miradi ipi? Ya kuwateka na kuwapoteza Watu?? Kumalizia ule mradi wa Watu wasiojulikana dhidi ya Mh Lissu??
 
Sina mashaka na jmp at all. Uchaguzi huu wa Oct 28,atashinda kwa kishindo.Hawa utopolo wote, hata wakiungana wote hawataweza kumuangusha chuma cha Reli JPM.
 
we juha kweli kwamba akianzisha mingine 2025 aongezewe tena.
 
Tunataka ajira miradii baki nayo
 
Take a hypothetical situation, Amekufa leo, nini kitafuata na miradi hiyo?
 
Kwan anatumia pesa zake za mfukoni sio lazima amalizie yeye hata wengine wanaweza , ni kodi zetu ndio zinatumika
 

Asante ndugu kwa maoni haya murua kabisa. Isipokuwa leo nilitia hoja kama hiyo kwenye dala-dala, loooh! Nilinyeshewa mvua y maneno nikanyamaza kimya hasa nilipotaja mafanikio nikagusia ununuzi wa ndege. Abiria wenzangu waligeuka nyuki wa kunishambulia.

Mimi sijui hiki kisirani cha hasira Watanzania wamekitoa wapi. Mungu atusaidie.
 
Mradi upi?? Uwanja wa mpira chato???
 
Mkuu

Wewe kama wewe,kuna kura yako utapiga,tiki pale kwa JPM.....kura zingine tuachie sisi wengine tujiamulie kwenye chumba!

Thank you ma nigga!
 
Kuna audio clip inatembea: kiongozi wa chama fulani anawaambia wajumbe wake kwamba ushindi ni lazima na wasingojee eti mpaka Mungu apende au ajaalie.
Hayo ni mawazo yake binafsi na wengi hatukubaliani naye kwani sosi yuna dini lakini nchi yetu haina dini
 
Kwa hiyo baada ya miaka 5 kama bado hajamaliza miradi (kumbuka ataanzisha mingine), tutengue katiba ili tumpe mitano tena au tuondoe ukomo? Naona umejifunga goli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…