Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

..labda uwe kwenye ukoo wa kina Doto James, na Kheri James.

..vinginevyo wote tunaisoma namba.
We unaisoma namba??😂😂😂 pole fanya kazi kwa Juhudi ndugu acha ujanja ujanja
 
Huu mwaka Chama cha meko kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea mpaka nataka kutoa machozi yaani wamevimbiwa sana hawa jamaaa
 
Kumekuchaaaaa 82%
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi kuna mtu timamu anataka kumsikia huyu?

Nasema mtatapika dagaa!

Lissu Rais Halina Ubishi, Ubishi atatangazwa?

Huyu sio Lowassa, Ushindi ni wa UMMA na UMMA umesimama na Lissu.

OLE, wenu mlete ubabe, mtaishie THE HAGUE.

Save my words for the right moment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…