Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kweli kabisa eti atampa kazi Lissu,anaonea watu wanatekwa wanapewa makosa ya uongo,watu wanawekwa ndani bila dhamana amekaa kimya alafu eti nitampa kazi huyu nani anataka kazi zako ambazo umewapa watu ili wakusujudie hawana la kukupigia waka kukushauri
 
No comment
 
Unajua kuna mambo na maneno mengine humu msemayo dhidi na kwa viongozi hayawezi KUTHIBITISHWA na yeyote ila mwandikaji. Kwa hali hii mnaweza kuzua ubishi wa kitoto humu JF, kwamba alisema, hapana hakusema and so so and so on! Hayo mapya unayotaka wewe ni yapi, aseme mambo ambayo CCM haikufanya? Aseme uongo kama wasemavyo wengi wenu au aseme nini!? Hoja hapa kwenye huu uchaguzi wa 2020 ni kuonyesha YALIYOFANYIKA NA YATAKAYOFANYIKA via the CCM Party Manifesto, Wewe unataka mapya, yamo kwenye ILANI YAO, CCM. Isome uwaulize kama hayo yaliyomo humo NI MAPYA AU MAKONGWE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…