Mbona Lisu na Membe sio wa kitoto?Hakuna mpinzani wa kutufanya tupige push up!
KumbeMeko alishaweka msimamo juu ya suala hili kuwa kama wafanyakazi wanaona mishahara ni midogo waende kulima kwani mapori yapo mengi sana Tanzania.
Baba sisi tunataka kupanuliwa kule nyuma Mzee Abdul Salum hukoooMnataka kupanuliuliwa wapi
TBC wanakatiza kwa kuwa Chadema baadhi yao ni wahuni...baadala ya kuta gaza sera wao wanasema kitanuka mara sijui watalala barabarani...yaani Chadema wanahamasisha vurugu na uvunjifu wa amani ...Kama TBC watatangaza mambo hayo ina wanashabikia hayo...na mbaya zaidi TBC hata wao wanaweza kushitakuwa na mamlaka husika ikiwemo TCRA...Kwahiyo hata TBC wanaokatiza hotuba za wapinzani wana wrong perception kwa wapinzani, so ndiyo?
Maana kwa mujibu wa maelezo yako ukali wa maneno unategemea na tafsiri ya mlengwa au msikilizaji na siyo kwa mujibu wa tafsiri ya jumla inayokubalika katika jamii..mkuu utakuwa haupo serious.
Hahahahaaa!! Mkoa ule ule... Nimependa namna unavyofikiria!!![SUB]Push up Inakwenda Kupigwa Kwenye Mkoa Ule Ule!! Subiri Uone [emoji849][emoji3][emoji16][/SUB]
Mwaka 2015 wagombea wa CCM maeneo mbalimbali wakati wa kampeni walipiga Sana pushap. Mwaka huu nafuatilia kampeni lakini sioni dalili za wagombea kupiga pushap?
Nini kimefanya pushap kupuuzwa awamu hii?
Na kiki ya risasi ndo ilishapitaga zamani watu wameshasahau kama kuna kiumbe kilitandikwa risasi dozen kadhaa.Kiki ya Corona ilishapita
Nasisi tutasema miujiza ya risasi 38 ndio itampeleka Lissu Ikulu.
Mkuu hoja yangu ya msingi ni IPI lugha Kali IPI so lugha Kali...TBC wanakatiza kwa kuwa Chadema baadhi yao ni wahuni...baadala ya kuta gaza sera wao wanasema kitanuka mara sijui watalala barabarani...yaani Chadema wanahamasisha vurugu na uvunjifu wa amani ...Kama TBC watatangaza mambo hayo ina wanashabikia hayo...na mbaya zaidi TBC hata wao wanaweza kushitakuwa na mamlaka husika ikiwemo TCRA...
Wenye akili zinazojielewa wamemuelewa sana kuanzia kipindi kile cha corona. Hawa wenye kuongozwa na dhihaka na utoto wa mitandaoni hawawezi kumuelewa.Haihapita nchi zote zinazotuzunguka wanahaha nayo,Ulaya Wana haha nayo, Marekani wanahaha nayo sisi hao wazima wa afya tunadunda mitaani
Hata Ubelgiji Lisu alikotoka alitua na Libarakoa akadhangaa watu wako fit
Magufuli hiyo ya kumshukuru Mungu kea kutushindia corona Ni kick kwake kwa Mungu sio kwa watu ukiwemo wa Aina ya wewe
Mungu ndio huamua yupi anampa kick ya kumtukuza ampe utawala .Kick ya Magufuli Mungu kwake anaikubali atampa uraisi hata wewe usipompa kura sababu utawala hutoka kwa Mungu . Magufuli hahitaji kick yako mpagani wewe
Una kiburi cha uzima.Kiki ya Corona ilishapita
Nasisi tutasema miujiza ya risasi 38 ndio itampeleka Lissu Ikulu.
Naamini ata huu msamihati wa SGR ni magu ndo amakufundisha nakukuzibua masikio kama kuna kiti kinaitwa sgr.Kumtaja kumtaja Mungu kiholela ni ishara ya unafiki wa kiwango cha SGR.
labda kama unamaanisha "miungu".Magufuli lazima Mungu ampe Uraisi Ni Raisi pekee duniani ambaye anatamka wazi watu wamshangilie Mungu kwa kutushindia Corona Tanzania
Hafichi anasema Kama watu wanataka ushuhuda wa Mungu jinsi anavyoweza waje Tanzania waone ukuu wa Mungu
Hakuna Raisi popote duniani awe mfalme au Raisi aliyekiri uwezo wa Mungu mbele ya eating na ushahidi wa ushuhuda wa wazi wa ukweli Kama Magufuli
Kamtukuza Mungu na Mungu atamtukuza kwa kumpa uraisi.Sababu anataka Watu wote wamshukuru Mungu na kamtukuza kwa kazi kubwa aliyoifanya Tanzania na hampaki Mungu kwa sifa za uongo au za kutunga anampa sifa halisia sio fake au za kuandaa watu wamsifie
Uraisi Mungu atakupa Magufuli Hakuna nchi duniani hata Moja iliyoona God factor Ni muhimu kupambana na Corona umejipambanua pekee na Mungu .Wengine walifunga majumba ya ibada hata dini zilikotoka iwe Ulaya , Marekani , Uarabuni au Vatican nk ulikataa kuheshimu Mungu .
October 28 Mungu lazima atakupa uraisi kwa kumheshimu Mungu mikutano ya kampeni zako kwa kazi kubwa Mungu kalifanyia Taifa kuliokoa na janga la Corona
Wapinzani wako wao na Mungu kwenye Corona hawana muda wa kumsifu wanaponda tu!! Hawaoni kazi kubwa aliyofanya Mungu kwenye Hilo seals
Jiandae tu kuapishwa maana Mungu kakukubali sababu unakiri uwezo wake hadharani
Anza kushona suti ya siku ya kuapishwa
Hii ni kweli kaisema mkuu!?Hayo ameyasema raisi Pombe, muda siyo mrefu kwenye kampeni zinazoendekea mkoani Singida, nanukuu.
"Elimu ni bure, wakinamama zaeni hakuna haja ya kupanga uzazi, matiti ya kunyonyesha mnayo, wanaume wa kuwapeni mimba wapo."
Toa maoni je ni kweli kupanga uzazi hakuna maana kama wataalamu wanavyo shauri, hii siyo mara ya kwanza Magufuli kuwaambia watanzania kuwa zaeni, msipange uzazi.
Waisraeli Wana kanuni yao kwamba mkakati uliofanikiwa haurudiwiMwaka 2015 wagombea wa CCM maeneo mbalimbali wakati wa kampeni walipiga Sana pushap. Mwaka huu nafuatilia kampeni lakini sioni dalili za wagombea kupiga pushap?
Nini kimefanya pushap kupuuzwa awamu hii?
Sio utadhani mkuu,ndivyo uhalisia ulivyo. Ndivyo walivyo.Sera za ccm bana, utadhani uchawi
Kwa akili zenu mnafikiria mahitaji ya mtoto ni hiyo bora elimu, ya bure?!!! Mala mia mtu akalipia hiyo elimu matibabu yakawa bure!! Kwani ni wangapi walikuwa wanakosa hizo 20,000?!!kwa mwaka? Yaani kazi ipoTatizo liko wapi?