Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Toka aingie madarakani ufisadi umeongezeka maradufu (zaidi ya trilion moja na nusu).

Vitendo vya rushwa vimekithiri kwa sababu yeye mwenyewe alitoa go ahead (aliruhusu traffic officers wachukue elfu5 zaa kubrashia viatu).

Amewadharau wafanyakazi wote kuanzia Jeshi, polisi mpaka mfanyakazi wa chini kabisa (Hakuna kuwapandisha mshahara, kwani mtanifanya nini, ukiona mshahara haukutoshi acha kazi).

Amewadharau vijana waliomaliza elimu ya juu, hakuna ajira.

Vitendo vya utekwaji, uuaji, ubambikiaji kesi vimeongezeka maradufu katika utawala wake.

Uminywaaji wa demokrasia, ukosefu wa uhuru wa kujieleza, na kila aina ya udikteta vimekithiri katika awamu ya5.

Yapo mengi sana mabaya kuliko mazuri ya kumconvice mtu amchague huyu bwana.

Ngoja nimalizie kitimoto hapa nitaendelea kuyaorodhesha.
 
Pepo wa upumbavu toka
Pepo wa kutangatanga toka
Pepo wa ujinga toka
Sema wewe Katibu wa CCM wilaya ya Mafinga na familia yako mtamchagua Magufuli.
Mimi niliyeajiriwa 2015 sijui daraja jipya wala mshahara mpya nina kichaa mpaka nimpe kura Magufuli?
Eti amekuza Diplomasia, diplomasia ya Chato?
Hapa ndo changamoto na muktadha mzima wa wafanyakazi kutaka kuongezewa mishahara unapopotea. Wewe mtoto umeajiriwa 2015 unataka ongezeko la mshahara, ongezeko la daraja.

Ebu tujiulize maswali ya msingi mawili tu

1. Umelifanyia nini taifa, taasisi au sehemu yako ya kazi toka 2015 mpaka kustahili ongezeko la mshahara na kupanda daraja.?

2. Toka umeajiriwa 2015 umeongeza utaalamu upi na weledi upi kazini kustahili kupandishwa daraja.?

Watanzania tuache ujinga na ujuaji usio na mantiki, kijana kama huyu kaajiliwa mwaka 2015 kaongeza thamani ipi kwa taifa mpaka astahili ongezeko la daraja.? Value for Money (VfM) iko wapi kwa kijana huyu.

Tujitafakari kama taifa, je ongezeko la mshahara na kupanda madaraja kunaendana na utendaji kazi wetu au business as usual. Na pia ujinga huu wa watu kutaka ongezeko la mishahara na madaraja uko serikalini tu, huku private ni lazima thamani yako ionekane ndipo upande daraja au mshahara. Na kama una thamani inayoendana utapanda madaraja na kufikia level kubwa ndani ya muda mfupi, lakini sio serikalini ambako mtu anacheza game la nyoka asubuhi mpaka muda wa kutoka na bado anataka kupanda madaraja.
 
Hapo kwenye rushwa hebu muulize kwenye kura za maoni aliweza kupambana na hiyo rushwa?
 
Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?

Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.

Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:

*(A) MAPAMBANO DHIDI YA:*

1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.

Na mengine mengi.

*(B) MAENDELEO*
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.

Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.

#MagufuliAendeleeTu
Matumizi ya mifumo ya kieletroniki kwenye makusanyo ya serikali hapo kafanya mapinduzi makubwa sana. Kaua panya wote kwenye kihenge
 
Ningemchagua iwapo angekuwa fair kwa vyama vyote. Ila kwa style ya kubebwa na vyombo ya usalama nampiga chini.
Huwezi kuwa mkuu wa nchi halafu unasikia watu wananyanganywa fomu,ofisi zinachomwa unachukuria poa kisa sio chama chako. Ccm wenyewe mikutano ruksa na live tbc upinzani........Hii ni baadhi ya mambo yanayomfanya baadhi yetu kutompa kura.
 
Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?

Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.

Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:

*(A) MAPAMBANO DHIDI YA:*

1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.

Na mengine mengi.

*(B) MAENDELEO*
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.

Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.

#MagufuliAendeleeTu
Kama yako mengi yanaonekana kwa macho mbona ni macho yako pekee ndo yanaona?
Kama haya machache ya kijinga uliyoandika hapa mkono wako umechoka hoi bin taabani, si matokeo ya bure elimu ya Awamu ya Tano ya kutojua kusoma na kuandika hadi Chuo Kikuu?
 
Hapa ndo changamoto na muktadha mzima wa wafanyakazi kutaka kuongezewa mishahara unapopotea. Wewe mtoto umeajiriwa 2015 unataka ongezeko la mshahara, ongezeko la daraja.

Ebu tujiulize maswali ya msingi mawili tu

1. Umelifanyia nini taifa, taasisi au sehemu yako ya kazi toka 2015 mpaka kustahili ongezeko la mshahara na kupanda daraja.?

2. Toka umeajiriwa 2015 umeongeza utaalamu upi na weledi upi kazini kustahili kupandishwa daraja.?

Watanzania tuache ujinga na ujuaji usio na mantiki, kijana kama huyu kaajiliwa mwaka 2015 kaongeza thamani ipi kwa taifa mpaka astahili ongezeko la daraja.? Value for Money (VfM) iko wapi kwa kijana huyu.

Tujitafakari kama taifa, je ongezeko la mshahara na kupanda madaraja kunaendana na utendaji kazi wetu au business as usual. Na pia ujinga huu wa watu kutaka ongezeko la mishahara na madaraja uko serikalini tu, huku private ni lazima thamani yako ionekane ndipo upande daraja au mshahara. Na kama una thamani inayoendana utapanda madaraja na kufikia level kubwa ndani ya muda mfupi, lakini sio serikalini ambako mtu anacheza game la nyoka asubuhi mpaka muda wa kutoka na bado anataka kupanda madaraja.
Kwani aliyeweka sheria na kanuni za kumpandisha daraja mtumishi kila baada ya miaka 3-4 alikuwa chizi?
Je, hajaainisha sifa na vigezo?
Kama kuna sifa na vigezo, je, mimi sijavifikia?
 
Unavijua vigezo vya kupandishwa daraja.?
 
Hapa ndo changamoto na muktadha mzima wa wafanyakazi kutaka kuongezewa mishahara unapopotea. Wewe mtoto umeajiriwa 2015 unataka ongezeko la mshahara, ongezeko la daraja.

Ebu tujiulize maswali ya msingi mawili tu

1. Umelifanyia nini taifa, taasisi au sehemu yako ya kazi toka 2015 mpaka kustahili ongezeko la mshahara na kupanda daraja.?

2. Toka umeajiriwa 2015 umeongeza utaalamu upi na weledi upi kazini kustahili kupandishwa daraja.?

Watanzania tuache ujinga na ujuaji usio na mantiki, kijana kama huyu kaajiliwa mwaka 2015 kaongeza thamani ipi kwa taifa mpaka astahili ongezeko la daraja.? Value for Money (VfM) iko wapi kwa kijana huyu.

Tujitafakari kama taifa, je ongezeko la mshahara na kupanda madaraja kunaendana na utendaji kazi wetu au business as usual. Na pia ujinga huu wa watu kutaka ongezeko la mishahara na madaraja uko serikalini tu, huku private ni lazima thamani yako ionekane ndipo upande daraja au mshahara. Na kama una thamani inayoendana utapanda madaraja na kufikia level kubwa ndani ya muda mfupi, lakini sio serikalini ambako mtu anacheza game la nyoka asubuhi mpaka muda wa kutoka na bado anataka kupanda madaraja.
Kwa mantiki hiyo hoja yako ni ipi?
Maana kijana amewakilisha wafanyakazi wote ambao kwa miaka mitano sasa hakuna aliyepandishiwa mshahara.

Unafananisha sector ya umma na sekta binafsi unakosea.
Ongezeko la mshahara lipo kisheria katima sekta ya umma, huko binafsi ni ww na mwajiri wako.
 
Kama lipo kisheria kwanini hamuendi mahakamani kulidai.?
 
Amesha wekewa mapingamizi anaweza akapigwa chini
 
Kama lipo kisheria kwanini hamuendi mahakamani kulidai.?
Mahakama zipi? Kisutu revenue authority, subsidiary branch ya ccm?
Hivyo vyama vya wafanyakazi vilivyojaa siasa za ccm vinaweza kupigania maslahi ya wafanyakkazi tena?

Kwa kifupi mfanyakazi yeyote atakayempigia kura huyo mtu atakuwa ni psychopath
 
Wewe si umeshasema uko private sasa waraka za madaraja kwa watumishi wa umma uliziona wapi?
Watanzania tunaangamia kwa kukosa maharifa. Wapi imeandikwa ukiwa mfanyakazi wa private huruhusiwi kujua waraka na sheria za utumishi wa umma.

Afu unaniuliza swali la kitoto eti nliziona wapi.? Serious niseme nliziona wapi.
 
Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?

Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.

Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:

*(A) MAPAMBANO DHIDI YA:*

1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.

Na mengine mengi.

*(B) MAENDELEO*
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.

Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.

#MagufuliAendeleeTu
MAGUFULI FOR 2020/2025.

VIVA MAGUFULI.

VIVA CCM.
 
Back
Top Bottom