Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kakojoe ukalale. Hatumtaki kwa sababu anaua watu na anatutesa watanzania. Anabambikia watu makesi na kupendelea kijijini kwake Chato
Hata ungekuwa wewe usinge pendelea kwenu??? Acha siasa za maji taka kikatuni wewe
 
Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?

Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.

Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:

*(A) MAPAMBANO DHIDI YA:*

1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.

Na mengine mengi.

*(B) MAENDELEO*
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.

Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.

#MagufuliAendeleeTu
hata aibu uoni yaani furaha yako ni kuona watz wakitpoea kwenye ufukara,hakuna mtza mwenye akili timamu atachagua kuteseka tena
 
Bashiru anajuta kuinsjisi elimu yake kwa kuungana na nyinyi
Kwa elimu gani bana ...........mbona wasomi wako wengi tu ccm.........tunaanza na raisi..,...ni Phd hao wengine ndio usiombee.......
 
Hata ungekuwa wewe usinge pendelea kwenu??? Acha siasa za maji taka kikatuni wewe
uzalendo ni kuanza kwa wengine na sio kwako.pendelea kwenu kwa pesa zako na sio kwa kodi zetu.sasa kila ajae awe anapendelea kwao itakuwa nchi hio?
 
Kwa elimu gani bana ...........mbona wasomi wako wengi tu ccm.........tunaanza na raisi..,...ni Phd hao wengine ndio usiombee.......
KUWA NA PHD SIO KUWA NA UWEZO WA KUFIKIRI
 
uzalendo ni kuanza kwa wengine na sio kwako.pendelea kwenu kwa pesa zako na sio kwa kodi zetu.sasa kila ajae awe anapendelea kwao itakuwa nchi hio?
Wote ndio ilikuwa hivyo anza na nyerere fuata mwinyi uje mkapa mpaka Kikwete na sasa boss joh
 
Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?

Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.

Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:

*(A) MAPAMBANO DHIDI YA:*

1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.

Na mengine mengi.

*(B) MAENDELEO*
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.

Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.

#MagufuliAendeleeTu
Tumeridhika ,wewe na nani? Acha kuwasemea wengine ,sema nimeridhika.

Huyo JIKONO JANDAMA mtamchagua nyinyi msiojielewa.
 
KUWA NA PHD SIO KUWA NA UWEZO WA KUFIKIRI
Wee kama unayo au ni rahisi kuwa nayo onyesha yako.....haafu huo uwezo unaureta hapa jukwaani .......nenda uko wakakuone ........usipoteze bando lako
 
Kakojoe ukalale. Hatumtaki kwa sababu anaua watu na anatutesa watanzania. Anabambikia watu makesi na kupendelea kijijini kwake Chato
Una ushahidi kuwa anaua watu wewe nyumbu? Acha hoja za kipuuzi, ndo mnataka mpewe nchi kwa hoja hizi!!
 
Kama mmeshindwa kabisa kutengeneza nyuzi nzuri za propaganda tangazeni tenda watu waingie kazini...hayo uliyoandika hapo watu wamechoka kuyasikia maana kila anayekuja na uzi mambo ni hayohayo
Sasa ulitak aje na hija zipi na ninyi leteni hoja zenu!
 
Kabisaaaaaa ataendelea..

Mungu ndie alimpatia hiyo nafasi..

Magufuli 2020 [emoji817]
Mungu kamwe hatakaa barazani pa wenye mizaha, wala kuketi karamuni pamoja na wenye mikono iliyotapakaa damu.
 
WeWe kama unayo au ni rahisi kuwa nayo onyesha yako, haafu huo uwezo unaureta hapa jukwaani Nenda uko wakakuone, usipoteze bando lako
we ndo unatishika na eti phd, kitu ambacho yeyeto uwezo wa kukariri akiamua anakipata tu. Thus wengi reasoning zao ziko chini,hadi kumsujudia mwanaume mwenzao ili washibe
 
Kakojoe ukalale. Hatumtaki kwa sababu anaua watu na anatutesa watanzania. Anabambikia watu makesi na kupendelea kijijini kwake Chato

nashangaa kwann wale watu wasiojulikana walimkosa huyu mbuzi, ndo maaana alipigwa mawe! wammalizie tu bna
 
Hapa ndo changamoto na muktadha mzima wa wafanyakazi kutaka kuongezewa mishahara unapopotea. Wewe mtoto umeajiriwa 2015 unataka ongezeko la mshahara, ongezeko la daraja.

Ebu tujiulize maswali ya msingi mawili tu

1. Umelifanyia nini taifa, taasisi au sehemu yako ya kazi toka 2015 mpaka kustahili ongezeko la mshahara na kupanda daraja.?

2. Toka umeajiriwa 2015 umeongeza utaalamu upi na weledi upi kazini kustahili kupandishwa daraja.?

Watanzania tuache ujinga na ujuaji usio na mantiki, kijana kama huyu kaajiliwa mwaka 2015 kaongeza thamani ipi kwa taifa mpaka astahili ongezeko la daraja.? Value for Money (VfM) iko wapi kwa kijana huyu.

Tujitafakari kama taifa, je ongezeko la mshahara na kupanda madaraja kunaendana na utendaji kazi wetu au business as usual. Na pia ujinga huu wa watu kutaka ongezeko la mishahara na madaraja uko serikalini tu, huku private ni lazima thamani yako ionekane ndipo upande daraja au mshahara. Na kama una thamani inayoendana utapanda madaraja na kufikia level kubwa ndani ya muda mfupi, lakini sio serikalini ambako mtu anacheza game la nyoka asubuhi mpaka muda wa kutoka na bado anataka kupanda madaraja.
Ongea na mbumbumbu wenzio, wafanyakazi walionyimwa nyongeza ni walioajiriwa 2015 pekee? Waluoajiriwa 1990 wana maisha mazuri ee!?
 
Kakojoe ukalale. Hatumtaki kwa sababu anaua watu na anatutesa watanzania. Anabambikia watu makesi na kupendelea kijijini kwake Chato
Bado yupyupo saana, cha kufanya hamia hata burundi au kongo.
 
Toka aingie madarakani ufisadi umeongezeka maradufu (zaidi ya trilion moja na nusu).

Vitendo vya rushwa vimekithiri kwa sababu yeye mwenyewe alitoa go ahead (aliruhusu traffic officers wachukue elfu5 zaa kubrashia viatu)...
Udikteta upi umekithiri, eti hamana uhuru wa kujieleza mbona upo JF humu? Eti ufisadi umeongezeka maradufu ! Kama ufisadi bado upo si ungeona waponzani wanaishikia hiyo hoja! In short hamna cha kuwaeleza watanzania na huyo kibaraka wenu!.
 
Back
Top Bottom