*(A) MAPAMBANO DHIDI YA:*Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?
Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.
Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:
*(A) MAPAMBANO DHIDI YA:*
1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.
Na mengine mengi.
*(B) MAENDELEO*
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.
Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.
#MagufuliAendeleeTu
1. Matumizi mabaya ya ofiisi.-amevunja sheria nyingi ikiwa ni pamoja na utumbuaji usio wa kisheria e.g CAG
2. Rushwa.-imeongezeka sana angalia uteuzi wa ccm rushwa tupu
3. Uhujumu uchumi.bado mkubwa sana na umefanywa na serikali wakati huu, mikopo mingi mno, matumizi mabaya ya fedha 1.5 trillion???
4. Ufujaji wa fedha za umma.1.5 trillion zikowapi?
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.uhuru wa vvyombo vya habari umekufa kabisa serikali hiii
7. Madawa ya kulevya. bado yapo watu wanakamatwa kama ilivyokuwa zamani
8. Ujambazi.visa vingi tu kila siku
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.
Na mengine mengi.
*(B) MAENDELEO*
1. Elimu bure.kwa viwango duni
2. Vituo vya huduma za afya.havina dawa
3. Umeme vijijini.bado ni tatizo
4. Ongezeko la viwanda.vya kukoboa mpunga na kusaga mahindi
5. Miundombinu imara.ilijengwa sana na Mkapa na Kikwete
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.Mkapa alifanya vizuri na alianzisha TASAF
8. Ukuaji wa diplomasia.Diplomasia ya nchi imeharibika kabisa na marafiki zetu hata Kenya wametukimbia
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).tumefikia $1080 wakati lengo ni $3000 by 2025
10. Sekta ya utalii imeimarika.utalii umekufa na ndege zimepaki watu hawana ajira
11. Muungano.hakuna lolote hapo
12. Kilimo cha uhakika.bado jembe la mkono masoko hakuna korosho na mahindi yanaoza mikononi mwa wakulima
13. Amani, ulinzi na usalama.Tundu Lissu, Akqulina, Ben Saanane wako wapi?
Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.Ni kazi ngumu sana kuitetea serikali hii lazima uchoke mapema! Pole.
#MagufuliAendeleeTu