BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
UPUUZI MTUPU!
Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?
Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.
Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:
(A) MAPAMBANO DHIDI YA:
1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.
Na mengine mengi.
(B) MAENDELEO
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.
Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.
MagufuliAendeleeTu