Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mwambie anywe juisi za ikulu mara ya mwisho. Kuanzia October na November hapo tutamuita mstaafuBado yupyupo saana, cha kufanya hamia hata burundi au kongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie anywe juisi za ikulu mara ya mwisho. Kuanzia October na November hapo tutamuita mstaafuBado yupyupo saana, cha kufanya hamia hata burundi au kongo.
Sikh iz Lumumba wameajil vijana wengi wajinga hiv na wew kwa Uzi huu utalipwa?Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?
Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.
Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:
(A) MAPAMBANO DHIDI YA:
1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.
Na mengine mengi.
(B) MAENDELEO
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.
Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.
MagufuliAendeleeTu
Huu ni UTOPOLO mtupu hakuna lolote. Rais ajaye ni Tundu Lissu tu.Kwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?
Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.
Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:
(A) MAPAMBANO DHIDI YA:
1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.
Na mengine mengi.
(B) MAENDELEO
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.
Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.
MagufuliAendeleeTu
Huwa mnajifariji vitu ambavyo havipo alafu mnadhani mmeshinda😁😁😁😁Mwambie anywe juisi za ikulu mara ya mwisho. Kuanzia October na November hapo tutamuita mstaafu
Na wewe unataka kusujudiwa akati unamiliki kisimu cha kichina bando la kukopa tala........minywele michafu ....kuoga sio lazima .......haya sasa kakojoe ulale hapawe ndo unatishika na eti phd, kitu ambacho yeyeto uwezo wa kukariri akiamua anakipata tu. Thus wengi reasoning zao ziko chini,hadi kumsujudia mwanaume mwenzao ili washibe
Acha kubishana na makula kulala Mkuu unapoteza muda, pia wapo mavyoo vikuu ma-oppotunists!! Hawajui maishaKwani aliyeweka sheria na kanuni za kumpandisha daraja mtumishi kila baada ya miaka 3-4 alikuwa chizi?
Je, hajaainisha sifa na vigezo?
Kama kuna sifa na vigezo, je, mimi sijavifikia?
Mwaka huu hata kazi alizofanya shetani anasingiziwa Mungu
Mbona zunatofautiana na zile picha za masanja!?
Hii team ni funga kazi!.✓
1. Elimu bure.
2. Ujenzi wa Vituo vya afya.
3. Usambazaji wa Umeme
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.r
8. Kuongezeka Uzalendo
9. Ukuaji wa Uchumi
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Kulinda Muungano.
12. Ukuaji Sekta ya Kilimo
13. Amani, ulinzi na usalama.
Tuliahidi& TumetekelezaView attachment 1549199View attachment 1549200
RubbishKwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?
Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.
Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:
(A) MAPAMBANO DHIDI YA:
1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.
Na mengine mengi.
(B) MAENDELEO
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.
Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.
MagufuliAendeleeTu
Umehangaika miaka mitano kusifu na kuabudu wala hujapata uteuzi! Bahatisha karata yako awamu hii.Hii team ni funga kazi!.
Hiyo October 28, kiukweli ni usipime!, sio tuu ni ushindi wa kishindo, bali ni tsunami ya kura za ushindi wa kishindo cha upepo wa kisulisuli!.
P
Toa takataka zako hapaKwanini tutamchagua Rais Magufuli na sio wagombea wengine?
Jibu ni rahisi sana. Tumeona utendaji kazi wake, tumeridhika nae, tumeamua kuendelea nae.
Tangu alipoingia madarakani Novemba 2015, Tanzania imefanikiwa kwa mambo yafuatayo:
(A) MAPAMBANO DHIDI YA:
1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Rushwa.
3. Uhujumu uchumi.
4. Ufujaji wa fedha za umma.
5. Utakasishaji fedha.
6. Uhalifu wa mitandaoni.
7. Madawa ya kulevya.
8. Ujambazi.
9. Utakasishaji fedha.
10. Ukwepaji kodi.
Na mengine mengi.
(B) MAENDELEO
1. Elimu bure.
2. Vituo vya huduma za afya.
3. Umeme vijijini.
4. Ongezeko la viwanda.
5. Miundombinu imara.
6. Mikopo bila riba.
7. Uwezeshaji kaya masikini.
8. Ukuaji wa diplomasia.
9. Ukuaji wa uchumi (UCHUMI WA KATI).
10. Sekta ya utalii imeimarika.
11. Muungano.
12. Kilimo cha uhakika.
13. Amani, ulinzi na usalama.
Yapo mengi. Yanaonekana kwa macho. Mkono ushachoka kuandika.
MagufuliAendeleeTu