Ingependeza kama watoto wangepewa elimu iliyo bora kuliko hii ya wakina Kayumba wanaokalia matofali!!! Mradi elimu?
Hongera wakati ndio huu.Mkuu hakuna mwaka rahisi km huu tunapiga kampeni huku tukila bata
Yaani kampeni inapigwa huku mkipata burudani
Nilipita hapo mida ya saa nane.
Hizi ndio picha za uwanja kujaa hadi kutapika??
CCM wanafanya kampeni za kisayansi zaidi.achana na wale viroboto kazi kulalama tu.
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu....picha kuna gaps kibao! Kubali tu watu hawakuja, wamewachokaMkuu uwanja wa jamhuri ulijaa hadi ukafungwa ila mimi nilichukua picha for funny tu
Sunajua mshindani wetu ni dhaifu no presha
Usichojua toka Rais Magufuli ameingia madarakani shule za serkali ndio zinaongoza kitaifa, endelea kuliwa pesa yako private
Hongera wakati ndio huu.
Acha uongo wako shule gani hizo za wakina Kayumba zinaongoza kitaifa? Shule zinazoongoza kitaifa ni za Private na hasa za wakatoliki!!
Tupe na picha za raia upande wapili. Naona hizo za upande wa jukwaani tu. Tuoneshe uwanja ulivyotapika😂Jamuhuri imetapika kampeni ya kisayansi
View attachment 1556496View attachment 1556498View attachment 1556499View attachment 1556501
Mkoa wenye wabunge maarufu Tanzania
Hapa jamhuri kampeni zinapigwa huku watu wakila bata uwanjani
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu....picha kuna gaps kibao! Kubali tu watu hawakuja, wamewachoka
Tutafakari upya kisha tuchukue hatua2015 ile kaingia tu kaanza kubomoa nyumba zetu, halafu tujichanganye tumpe tena mitano? Si atatumiminia marisasi 38 kama lissu!
Maendeleo ni Nini?Tatizo lako ni ubongo wako unahitaji kuamshwa ili uelewe maana ya maendeleo.