Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Usichojua toka Rais Magufuli ameingia madarakani shule za serkali ndio zinaongoza kitaifa, endelea kuliwa pesa yako private
Ingependeza kama watoto wangepewa elimu iliyo bora kuliko hii ya wakina Kayumba wanaokalia matofali!!! Mradi elimu?
 
Moja ya kauli anazoongea mgombea uraisi kupitia CCM ni kuwa muhula wa kwanza wa uongozi wake alikuwa anatuonjesha, je miaka mitano ijayo endapo atachaguliwa, itakuwaje?

-Maslahi ya watumishi yatakuwaje?
-Ajira zitakuwa katika hali gani?
-Je, wakulima na wafanyabiashara wategemee nini?
-Wananchi kwa ujumla tutakuwa katika hali gani iwapo kwa miaka hii mitano inayoisha tuko hivi tulivyo?
 
Mkuu uwanja wa jamhuri ulijaa hadi ukafungwa ila mimi nilichukua picha for funny tu
Sunajua mshindani wetu ni dhaifu no presha
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu....picha kuna gaps kibao! Kubali tu watu hawakuja, wamewachoka
 
Usichojua toka Rais Magufuli ameingia madarakani shule za serkali ndio zinaongoza kitaifa, endelea kuliwa pesa yako private

Acha uongo wako shule gani hizo za wakina Kayumba zinaongoza kitaifa? Shule zinazoongoza kitaifa ni za Private na hasa za wakatoliki!!
 
Hii nadharia ya magufuli ya "kuwabana" wabunge kaitoa wapi?

Tangu lini wabunge wakawajibika kwa Rais?

Kimsingi na kikatiba, wabunge ndio wanaopaswa kumbana magufuli ili awajibike kutekeleza yale yanayompasa!

Anaposema "atawabana" wabunge huwa anamaanisha nini hasa?

Wabunge hawawajibiki kwa Rais..... Wabunge wanamuwajibisha Rais.

Hebu tuwekane sawa. Naona kama kuna mtu haelewi hata anachokisema.
 
Rais Dkt John Pombe Magufuli ameitendea haki nafasi yake kama Jemedari Mkuu wa Nchi yetu.
Mwenye macho haambiwi tazama.
Nimependa sana Msimamo wake thabiti kwenye maamuzi yake yenye tija.
Maamuzi ya kijasiri kwa wakati muafaka, mahali sahihi na kwa wahusika sahihi.

Zawadi pekee ya kumpa ni kumuombea Afya njema na kumpa kura zote safari hii , Najua atashinda lakini tumpe ushindi mnono apate raha moyoni.
 
Angalia matokea ya advanced level mwaka huu wewe kapuku acha ubishi
Acha uongo wako shule gani hizo za wakina Kayumba zinaongoza kitaifa? Shule zinazoongoza kitaifa ni za Private na hasa za wakatoliki!!
 
Magufuli anajua wabunge wa ccm hawajitambui, hivyo anaweza kuwabana, na lengo hasa ni kuhakikisha wanamuongezea muda wa kukaa madarakani. Hivyo anaiagiza tume iwapitishe ili awaagize atakacho, kwani ni rahisi kumbana mtu aliyeingia bungeni kwa mbeleko, kuliko aliyeletwa kwa kura halisi za wananchi. Ni ngumu kuwabana wabunge wa upinzani maana wao huingia bungeni kwa kura halali za wananchi.
 
Nikibishana na mtu wa Upinzani aliyejaa strees nikupoteza muda
Karibu morogoro wajanja wote wapo Ccm, wenye stress ndio wamejificha upinzani
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu....picha kuna gaps kibao! Kubali tu watu hawakuja, wamewachoka
 
Back
Top Bottom