Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Hii itawahusu chadema au wananchi wa ubeligiji
 
Pale fiesta inapokamilka jamuhuri stadium
Tamasha la wasanii Morogoro
 
Nasikia zile pesa waliyochanga wafanyabiashara na watu wengine kwa ajiri ya Coron ndo ambazo ccm wanawanunua wasanii wote..... 🤔🤔

Huu ushetani wa ccm mpaka. Lini
 
Asante comrade Tuendelee kuwaumbua Wapinzani
Nilikuona mkuu..ukiwe biz unatupia vitu jamvini. Tukabdilishana mawili matatu ya kupeana shime. Hakika wewe ni mtu mwema tofauti kabisa na uzi zako humu jamvini. Lakini unaeleweka.
 
Hakuna aliyesalama chini ya huyu Mtawala,anawabana wabunge,madiwani,Mahakimu,Majaji,Polisi na vyombo vingine vya umma kwa manufaa yake.Hii nadhani ni tabia ya Madikteta wote duniani ili aabudiwe yeye na siyo Katiba aliyoapa kuiheshimu,kuilinda na kuhakikisha inatekelezwa kwa hakika na kwa haki.

Tumeshuhudia uvunjifu wa Katiba chini ya utawala huu kiasi kwamba inaonekana kawaida tu! Watanzania tuseme ''Sasa Basi" na with No Fear No Hate.Kura zetu zina thamani ya kutupatia Uhuru,Haki na Maendeleo endelevu kwa Tanzania na watu wake.
Magufuli anajua wabunge wa ccm hawajitambui, hivyo anaweza kuwabana, na lengo hasa ni kuhakikisha wanamuongezea muda wa kukaa madarakani.
[/QUOTE
 
Unataka msanii atoke Ccm aende wapi? Kwa wale wahuni wanaotukana jukwaani?
Nasikia zile pesa waliyochanga wafanyabiashara na watu wengine kwa ajiri ya Coron ndo ambazo ccm wanawanunua wasanii wote..... [emoji848][emoji848]

Huu ushetani wa ccm mpaka. Lini
 

Tamasha la bure kabisa tume enjoy mzikimzuri
 
Bahati mbaya ni kuwa, umchague au usimchague, huyo ndiye Rais 2020 - 2025!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…