Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Hii itawahusu chadema au wananchi wa ubeligijiTarajieni mabaya zaidi
- tutatekwa na kupotezwa zaidi
- bodi ya mikopo walio kopa watakatwa asilimia kubwa zaidi
- kikotoo kinacho wapunja wastaafu kitaanza kutumika rasmi
- fao kujitoa hilo lisahauike kabisa
- wapinzani watahamishwa nchini, watakao kaidi risasi zitawahusu.
- watumishi wa umma wasahau nyongeza za mishahara
- ukomo wa raisi kuongoza mihula 2 itaondolewa.