Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Jichanganye sasa uoneee
 
Naona ndio mnaemtegemea, kuna mwenzio humu anaitwa Lord denning alaifurahi kweli aliposikia kigogo karudi kule twiter
We ndo unamfahamu amekufanyia nini mbona unamtaja hivo inaonekana kuna kitu amekufanyia huwezi kumsahau
 
We ndo unamfahamu amekufanyia nini mbona unamtaja hivo inaonekana kuna kitu amekufanyia huwezi kumsahau
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nasikia atadukua NEC na kumtangaza Lisu ameshinda?
[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kweli kabisa,jiwe haamini pamoja na kununua ndege na kujenga flyover lakini bado wananchi hawajampokea kulingana na matarajio yake!Alitegemea wananchi watajaa kwake tu!
Ebu taja ni wapi kwa magufuli kwenye campeni zake palipopwaya.
 
Ni kweli hata kanda ya Ziwa aliyoitegemea kwa 100% kumbe kila mtu anataka kuona maendeleo yake binafsi sambaba na maendeleo ya Serikali.

Wanaona Rais anatembea na misafara ya magari mamia huku akisema anabana matumizi. Hawamuelewi kabisa.
Kila mtu anahitaji pesa kama wakubwa walivyojilimbikizia Mali huku wakijiita wazalendo mbele ya watu waliolala kwa mlo mmoja.
Binadam kama jamii zetu zilivyo mtu akitaka kuoa anahitaji fedha, akihitaji kutahiri mtoto anahilesstaji pesa.
Akitaka Chakula anahitaji pesa. Akihitaji nguo anahitaji pesa, akipatwa na msiba anahitaji pesa. Akisafiri anahitaji pesa. Akiugua anahitaji pesa. Shule bora zinahitaji pesa. Mbolea inahitaji pesa. Sadaka na michango ya kidini zinahitaji pesa.
Sasa kuwadanganya watu kuwa pesa sio muhimu badala yake wafunge mikanda tuu Hulu wao wakila bata
 
Ebu taja ni wapi kwa magufuli kwenye campeni zake palipopwaya.
Matarajio yake ni kuwa upinzani kaumaliza ila anashangaa hadi Mwanza Lissu kapata mapokezi makubwa!
Pamoja na kujenga flyover na kununua ndege,lakini bado analipa wasanii mabilioni ili kuvutia watu kwenye mikutano yake!Huku ndio kupwaya kwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…