Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Anajua hajawafanyia kitu chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijua atatumia zake chafu alizokuwa anazitumia kipindi akiwa mbungeHili ndilo limempanikisha Sana. Mwanzoni alidhani atapita bila kuwa na upinzani. Akijua atawapachika akina Lipumba upinzani bubu, halafu yeye akapeta kiulani. Sasa amekuja mbeba maono kijasho kinamtoka.
UONGEZA MISHAHARA SIYO SERA ELEWA MAANA YA SERA NDIYO ULETE ANDIKO LAKO HAPA.Hii ni sera ambayo watumishi hawajaisikia kutoka ccm, kwanini hawataki kuigusia, ina maaga sio muhimu kwa watumishiw ote wa umma?, je watumishi wana hali gani kutosikia sera hii kutoka ccm.
Acheni kupotosha watu kwa sera mnazopost za upuuzi tu ivi mnanzania kuongoza nchi ni kazi rahisi au kazi ni kukaa na kukosoa vitu vya kijinga tu Magufuli kaweza na kasubutu kufanya yake kama huwezi kupost vitu vya msingi tafuta kazi ufanye sio kudanganya watuWakati kampeni hazijaanza alikuwa mwenyewe kujiimarisha, cha kushangaza jinsi siku zinavyoenda amezidi kuporomoka na watu kumwona hana jipya kwenye kampeni zake.
Sera anazoongea hazina mashiko amebaki na sera za kukejeli na vijembe ambavyo wananchi wanaona hana kipya.
Amekaa miaka yote 5 kapunguza ajira halafu leo anakuja tena kusema ataleta ajira mil 8,mara mimi sitoki nje ya nchi ni mzalendo,ajira elfu 8 kashindwa ataweza mil 8 kama siyo kutuletea comedy, vile vile kutokwenda nje ya nchi haionyeshi kwamba we ni mzalendo ni hofu yake tu.
Kusema Lissu siyo mzalendo kisa amekaa nje ya nchi haina mashiko ni kuropoka tu maana hakuna asiye jua alienda kwa matibabu.
Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja dalili zote zinaonyesha ,wafanyakazi wamemchoka ,wastaafu wamemchoka ,vijana wamemchoka, wazee wamemchoka na kila mtu anamwona vyote anavyoongea ni usanii tu
Nipo hosp. ila nimecheka Sana kwamba hajaanza Kula mahindi kwani yeye genda eka? Kipindi hiki atakula hadi michembe matobolwa mlenda aina ya mwage wamdhibiti Kula asijeleta shida ya kuchimba dawa mara ooh tumbo maana anaweza kwenda sehemu akala maboga, mahindi ya kuchoma, miwa, mayai akajikuta anapiga viboli.Kwani hajaanza kula mahindi?
Ukiwepo mdahalo wa lisu na magu,hizo ni kampeni tu,je mdahalo si ndo itakuwa balaa
wananchi kwa sasa hawashoboki na kampeni coz wanajua magu ndo mshindi, kama huamini subiri matokeo oct.Kweli kabisa,jiwe haamini pamoja na kununua ndege na kujenga flyover lakini bado wananchi hawajampokea kulingana na matarajio yake!Alitegemea wananchi watajaa kwake tu!
Mwenyewe alishafariki october 14 wamebaki wapiga diliNi aibu kubwa sana kwa ccm kuwa na mgombea wa namna hii , hivi hiki chama hakina mwenyewe ?
Basi imekula kwake.Kwanza hakutegemea lissu atarudi na kumvunja mbowe miguu wakadhani atatishika
Hiyo ni sheria, Ccm haizungumzii vitu vidogo vidogo
Ccm haifuati wagombea wanatumika na Mabeberu
[/QUOT
KAPOTEZA MVUTO KABISAWakati kampeni hazijaanza alikuwa mwenyewe kujiimarisha, cha kushangaza jinsi siku zinavyoenda amezidi kuporomoka na watu kumwona hana jipya kwenye kampeni zake.
Sera anazoongea hazina mashiko amebaki na sera za kukejeli na vijembe ambavyo wananchi wanaona hana kipya.
Amekaa miaka yote 5 kapunguza ajira halafu leo anakuja tena kusema ataleta ajira mil 8,mara mimi sitoki nje ya nchi ni mzalendo,ajira elfu 8 kashindwa ataweza mil 8 kama siyo kutuletea comedy, vile vile kutokwenda nje ya nchi haionyeshi kwamba we ni mzalendo ni hofu yake tu.
Kusema Lissu siyo mzalendo kisa amekaa nje ya nchi haina mashiko ni kuropoka tu maana hakuna asiye jua alienda kwa matibabu.
Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja dalili zote zinaonyesha ,wafanyakazi wamemchoka ,wastaafu wamemchoka ,vijana wamemchoka, wazee wamemchoka na kila mtu anamwona vyote anavyoongea ni usanii tu
Kimbieni tu kwa kujitetea baada ya kuona mmefeli kulitekeleza litawakaba tu maana ipo kwenye mkataba wa kazi labda kama ww sio muajiriwa
Umenikbusha yule wa jararanihao wawinda ndege nadhani wana ahueni kubwa kuliko maelfu ya wasomi wasojitambua, wanaohitaji daily wapewe haki na uhuru wa kutukana watu then wakinyimwa wanahisi hawajatendewa haki.
Kwenye kampeni
Magufuli anahutubia dakika tano au kumi baada ya hapo ni singeli mwanzo mwenga.
Umenikbusha yule wa jararani
Anahusikaje na maneno yamtokayoKampeni Meneja wa kipindi hiki sijui ni nani!
Humphrey PolepoleKampeni Meneja wa kipindi hiki sijui ni nani!