Hili ndilo limempanikisha Sana. Mwanzoni alidhani atapita bila kuwa na upinzani. Akijua atawapachika akina Lipumba upinzani bubu, halafu yeye akapeta kiulani. Sasa amekuja mbeba maono kijasho kinamtoka.Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndilo limempanikisha Sana. Mwanzoni alidhani atapita bila kuwa na upinzani. Akijua atawapachika akina Lipumba upinzani bubu, halafu yeye akapeta kiulani. Sasa amekuja mbeba maono kijasho kinamtoka.Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja
Si kwa Umati uleAngalia TBC mbashara
Lowassa alipata mapokezi makubwa kushinda ya Lissu uliza habari yakeMatarajio yake ni kuwa upinzani kaumaliza ila anashangaa hadi Mwanza Lissu kapata mapokezi makubwa!
Pamoja na kujenga flyover na kununua ndege,lakini bado analipa wasanii mabilioni ili kuvutia watu kwenye mikutano yake!Huku ndio kupwaya kwenyewe!
Kwanza hakutegemea lissu atarudi na kumvunja mbowe miguu wakadhani atatishikaHili ndilo limempanikisha Sana. Mwanzoni alidhani atapita bila kuwa na upinzani. Akijua atawapachika akina Lipumba upinzani bubu, halafu yeye akapeta kiulani. Sasa amekuja mbeba maono kijasho kinamtoka.
Matreka na fuso yamefanya kazi kubwa tunashukuru kwa hilo tungeumbukaSi kwa Umati ule
Wakati kampeni hazijaanza alikuwa mwenyewe kujiimarisha, cha kushangaza jinsi siku zinavyoenda amezidi kuporomoka na watu kumwona hana jipya kwenye kampeni zake.
Sera anazoongea hazina mashiko amebaki na sera za kukejeli na vijembe ambavyo wananchi wanaona hana kipya.
Amekaa miaka yote 5 kapunguza ajira halafu leo anakuja tena kusema ataleta ajira mil 8,mara mimi sitoki nje ya nchi ni mzalendo,ajira elfu 8 kashindwa ataweza mil 8 kama siyo kutuletea comedy, vile vile kutokwenda nje ya nchi haionyeshi kwamba we ni mzalendo ni hofu yake tu.
Kusema Lissu siyo mzalendo kisa amekaa nje ya nchi haina mashiko ni kuropoka tu maana hakuna asiye jua alienda kwa matibabu.
Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja dalili zote zinaonyesha ,wafanyakazi wamemchoka ,wastaafu wamemchoka ,vijana wamemchoka, wazee wamemchoka na kila mtu anamwona vyote anavyoongea ni usanii tu
One man show to the end.Kampeni Meneja wa kipindi hiki sijui ni nani!
Ndoto za alinacha hiziWakati kampeni hazijaanza alikuwa mwenyewe kujiimarisha, cha kushangaza jinsi siku zinavyoenda amezidi kuporomoka na watu kumwona hana jipya kwenye kampeni zake.
Sera anazoongea hazina mashiko amebaki na sera za kukejeli na vijembe ambavyo wananchi wanaona hana kipya.
Amekaa miaka yote 5 kapunguza ajira halafu leo anakuja tena kusema ataleta ajira mil 8,mara mimi sitoki nje ya nchi ni mzalendo,ajira elfu 8 kashindwa ataweza mil 8 kama siyo kutuletea comedy, vile vile kutokwenda nje ya nchi haionyeshi kwamba we ni mzalendo ni hofu yake tu.
Kusema Lissu siyo mzalendo kisa amekaa nje ya nchi haina mashiko ni kuropoka tu maana hakuna asiye jua alienda kwa matibabu.
Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja dalili zote zinaonyesha ,wafanyakazi wamemchoka ,wastaafu wamemchoka ,vijana wamemchoka, wazee wamemchoka na kila mtu anamwona vyote anavyoongea ni usanii tu
Kwenye kampeniWakati kampeni hazijaanza alikuwa mwenyewe kujiimarisha, cha kushangaza jinsi siku zinavyoenda amezidi kuporomoka na watu kumwona hana jipya kwenye kampeni zake.
Sera anazoongea hazina mashiko amebaki na sera za kukejeli na vijembe ambavyo wananchi wanaona hana kipya.
Amekaa miaka yote 5 kapunguza ajira halafu leo anakuja tena kusema ataleta ajira mil 8,mara mimi sitoki nje ya nchi ni mzalendo,ajira elfu 8 kashindwa ataweza mil 8 kama siyo kutuletea comedy, vile vile kutokwenda nje ya nchi haionyeshi kwamba we ni mzalendo ni hofu yake tu.
Kusema Lissu siyo mzalendo kisa amekaa nje ya nchi haina mashiko ni kuropoka tu maana hakuna asiye jua alienda kwa matibabu.
Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja dalili zote zinaonyesha ,wafanyakazi wamemchoka ,wastaafu wamemchoka ,vijana wamemchoka, wazee wamemchoka na kila mtu anamwona vyote anavyoongea ni usanii tu
Wachezaji na wasanii wa mzikiKampeni Meneja wa kipindi hiki sijui ni nani!
“Each time I want to fight for African rights, I use only one hand because the other hand is busy trying to keep away Africans who are fighting me.”Mtu unaishi kwenye nyumba ya tembe ndege itakusaidia nini?
Magu is a jack of all tradesNadhani ni Polepole au Magu mwenyewe anaweza kua ndio huyo huyo Kampeni Manager,si unaonaga hata kwny bongo movie actor anakua ndio huyo huyo director,then Location Manager na hapohapo ndio anawafanyia Make up wasanii wake.
hao wawinda ndege nadhani wana ahueni kubwa kuliko maelfu ya wasomi wasojitambua, wanaohitaji daily wapewe haki na uhuru wa kutukana watu then wakinyimwa wanahisi hawajatendewa haki.Nilichogundua magufuli anafagiliwa na wale waliokuwa wanawinda ndege kipindi wenzao wanakula kitabu
Na kwa kuwa Tanzania yetu ndio imejaa watu wa aina hii hatuna budi kukubali kusikia akiongezewa mitano mingine
Magufuli namfananisha na Chief Nanga.Ni kweli hata kanda ya Ziwa aliyoitegemea kwa 100% kumbe kila mtu anataka kuona maendeleo yake binafsi sambaba na maendeleo ya Serikali.
Wanaona Rais anatembea na misafara ya magari mamia huku akisema anabana matumizi. Hawamuelewi kabisa.
Kila mtu anahitaji pesa kama wakubwa walivyojilimbikizia Mali huku wakijiita wazalendo mbele ya watu waliolala kwa mlo mmoja.
Binadam kama jamii zetu zilivyo mtu akitaka kuoa anahitaji fedha, akihitaji kutahiri mtoto anahilesstaji pesa.
Akitaka Chakula anahitaji pesa. Akihitaji nguo anahitaji pesa, akipatwa na msiba anahitaji pesa. Akisafiri anahitaji pesa. Akiugua anahitaji pesa. Shule bora zinahitaji pesa. Mbolea inahitaji pesa. Sadaka na michango ya kidini zinahitaji pesa.
Sasa kuwadanganya watu kuwa pesa sio muhimu badala yake wafunge mikanda tuu Hulu wao wakila bata
Ni aibu kubwa sana kwa ccm kuwa na mgombea wa namna hii , hivi hiki chama hakina mwenyewe ?Wakati kampeni hazijaanza alikuwa mwenyewe kujiimarisha, cha kushangaza jinsi siku zinavyoenda amezidi kuporomoka na watu kumwona hana jipya kwenye kampeni zake.
Sera anazoongea hazina mashiko amebaki na sera za kukejeli na vijembe ambavyo wananchi wanaona hana kipya.
Amekaa miaka yote 5 kapunguza ajira halafu leo anakuja tena kusema ataleta ajira mil 8,mara mimi sitoki nje ya nchi ni mzalendo,ajira elfu 8 kashindwa ataweza mil 8 kama siyo kutuletea comedy, vile vile kutokwenda nje ya nchi haionyeshi kwamba we ni mzalendo ni hofu yake tu.
Kusema Lissu siyo mzalendo kisa amekaa nje ya nchi haina mashiko ni kuropoka tu maana hakuna asiye jua alienda kwa matibabu.
Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja dalili zote zinaonyesha ,wafanyakazi wamemchoka ,wastaafu wamemchoka ,vijana wamemchoka, wazee wamemchoka na kila mtu anamwona vyote anavyoongea ni usanii tu
Hongera“Each time I want to fight for African rights, I use only one hand because the other hand is busy trying to keep away Africans who are fighting me.”
Kipangaspecial 2020