Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja
Hili ndilo limempanikisha Sana. Mwanzoni alidhani atapita bila kuwa na upinzani. Akijua atawapachika akina Lipumba upinzani bubu, halafu yeye akapeta kiulani. Sasa amekuja mbeba maono kijasho kinamtoka.
 
Matarajio yake ni kuwa upinzani kaumaliza ila anashangaa hadi Mwanza Lissu kapata mapokezi makubwa!
Pamoja na kujenga flyover na kununua ndege,lakini bado analipa wasanii mabilioni ili kuvutia watu kwenye mikutano yake!Huku ndio kupwaya kwenyewe!
Lowassa alipata mapokezi makubwa kushinda ya Lissu uliza habari yake
 
Hili ndilo limempanikisha Sana. Mwanzoni alidhani atapita bila kuwa na upinzani. Akijua atawapachika akina Lipumba upinzani bubu, halafu yeye akapeta kiulani. Sasa amekuja mbeba maono kijasho kinamtoka.
Kwanza hakutegemea lissu atarudi na kumvunja mbowe miguu wakadhani atatishika
 
 
wajinga hupenda sana kuwakosoa watu alimradi wajifariji tu.
 
Ndoto za alinacha hizi
 
Kwenye kampeni
Magufuli anahutubia dakika tano au kumi baada ya hapo ni singeli mwanzo mwenga.
 
Mtu unaishi kwenye nyumba ya tembe ndege itakusaidia nini?
“Each time I want to fight for African rights, I use only one hand because the other hand is busy trying to keep away Africans who are fighting me.”

Kipangaspecial 2020
 
Nadhani ni Polepole au Magu mwenyewe anaweza kua ndio huyo huyo Kampeni Manager,si unaonaga hata kwny bongo movie actor anakua ndio huyo huyo director,then Location Manager na hapohapo ndio anawafanyia Make up wasanii wake.
Magu is a jack of all trades
 
Nilichogundua magufuli anafagiliwa na wale waliokuwa wanawinda ndege kipindi wenzao wanakula kitabu

Na kwa kuwa Tanzania yetu ndio imejaa watu wa aina hii hatuna budi kukubali kusikia akiongezewa mitano mingine
hao wawinda ndege nadhani wana ahueni kubwa kuliko maelfu ya wasomi wasojitambua, wanaohitaji daily wapewe haki na uhuru wa kutukana watu then wakinyimwa wanahisi hawajatendewa haki.
 
Magufuli namfananisha na Chief Nanga.

Kauli baadhi za Chief Nanga ni

1. Teaching is a noble profession.

2. If a person wants to appoint you as a minister, Run away.
 
Hii ni sera ambayo watumishi hawajaisikia kutoka ccm, kwanini hawataki kuigusia, ina maaga sio muhimu kwa watumishiw ote wa umma?, je watumishi wana hali gani kutosikia sera hii kutoka ccm.
 
Ni aibu kubwa sana kwa ccm kuwa na mgombea wa namna hii , hivi hiki chama hakina mwenyewe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…