Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Umetumia ufahamu wako wote kuhisi kuwa wewe ndio mwenye akili timamu??
Kwa mtu ambaye anasema kitu na kuponda halafu leo kajisahau anasifia tena basi mimi nina akili timamu
 
Maandiko mazuri sana
 
Kweli kabisa,jiwe haamini pamoja na kununua ndege na kujenga flyover lakini bado wananchi hawajampokea kulingana na matarajio yake!Alitegemea wananchi watajaa kwake tu!

Tatizo ni HAKI, UHURU na MAENDELEO ya WATU
 
Naweka nukuu za maaskari 2 tofauti kwa wakati tofauti nilipowachalenji kuhusu Magufuli.
02 /09/2020 Polisi mmoja kaniambia Magufuli hana jipya , watu tunamsikiliza Lissu anayeonyesha mwanga .
10/08/2020 Mwanajeshi mmoja akisema huyu Mzee sijui alikuwaje Rais. CCM walibugi sana 2015.
 
Kampeni za CCM nje ya muziki haina mvuto, mgombea urais anaonekana anauchovu Sana, mambo ya pushup hakuna tena
 
Kwa mtu ambaye anasema kitu na kuponda halafu leo kajisahau anasifia tena basi mimi nina akili timamu
Yaweza kuwa kweli una akili timamu, Lakini kumbuka Jpm ni mwanadamu hata Kama akijikanganya leo tunayachukulia Kama madhaifu ya kibinadamu, Kuijua jamii forum kisiwe kipimo cha kujiona wewe ni mkamilifu.
 
Lissu sijui ana kitu gani? Nimeona nyomi ya Tabora. Si utani jamani. Huyu baba ana nini lakini?!! [emoji134]‍♀️ Hana wasanii wakuambatana nao, hana bongo movie, hana stages za kutisha, sijui makideo.. Ila balaa kwa wananchi wanavyompenda.

Lissu baba Mungu azidi kukutangulia wewe na sisi Watanzania tupendao uje utuongoze. Upite kwa kishindo. Ama hakika tutakuwa tumepata uongozi wa kueleweka. Miaka 5 hiyo iliyopita tutakuwa tumetoa sadaka.
 
Kweli kabisa,jiwe haamini pamoja na kununua ndege na kujenga flyover lakini bado wananchi hawajampokea kulingana na matarajio yake!Alitegemea wananchi watajaa kwake tu!

Hichi ndio kinamtesa. Na ndio maana sura imebadilika sana. Ana stress balaa.
 
Mtu unaishi kwenye nyumba ya tembe ndege itakusaidia nini?
Umekaa shuleni miaka minne umeshindwa kujipatia hata Div 3, leo unamlaumu aliyekaa madarakani kwa miaka mitano hajakuletea maendeleo! Ingekuwa maendeleo ni jambo rahisi basi wewe usingeshindwa kupata karai tatu ndani ya miaka minne...
Tatizo wabongo wengi wanajipima na Marekani, taifa ambalo limekuwepo kwa zaidi ya miaka mia mbili.
 
[emoji116]
 
Naona ndio mnaemtegemea, kuna mwenzio humu anaitwa Lord denning alaifurahi kweli aliposikia kigogo karudi kule twiter
Msitafute Wachawi wakati mnao humohumo Lumumba
 
Matokeo mazuri yanatokana na waalimu wazuri ,vifaa vya masomo na jitihada binafsi ,usijitoe ufahamu hapa wakati mambo unayoandika humu yanaakisi ukilaza wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…