Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Matokeo ya mafuso na wasanii
Kama hapo Tinde walipeleka watu kutoka Isaka Nzega Kahama kwa ahadi za fedha taslimu na vitisho kwa waaalimu kutoka Shinyanga
 
Waziri mkuu manyara watu waliletwa toka mbulu kuja babati ,kampeni zilipoisha hawakurudishwa hadi leo wanatafuta msaada wa kurudi
 
Masele ana sura nzuri mara Kigwangala anasura mbaya na tunafanana fanana
Kampeni za kitoto kuwahi kutokea ktk historia ya lichama lao
 
Wakati kampeni hazijaanza alikuwa mwenyewe kujiimarisha, cha kushangaza jinsi siku zinavyoenda amezidi kuporomoka na watu kumwona hana jipya kwenye kampeni zake.

Sera anazoongea hazina mashiko amebaki na sera za kukejeli na vijembe ambavyo wananchi wanaona hana kipya.

Amekaa miaka yote 5 kapunguza ajira halafu leo anakuja tena kusema ataleta ajira mil 8,mara mimi sitoki nje ya nchi ni mzalendo,ajira elfu 8 kashindwa ataweza mil 8 kama siyo kutuletea comedy, vile vile kutokwenda nje ya nchi haionyeshi kwamba we ni mzalendo ni hofu yake tu.

Kusema Lissu siyo mzalendo kisa amekaa nje ya nchi haina mashiko ni kuropoka tu maana hakuna asiye jua alienda kwa matibabu.

Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja dalili zote zinaonyesha ,wafanyakazi wamemchoka ,wastaafu wamemchoka ,vijana wamemchoka, wazee wamemchoka na kila mtu anamwona vyote anavyoongea ni usanii tu
Mikakati ya CHADEMA ni pamoja na kutumia wanachama wake kuchoma ofisi zao.....

Poor and shame
 
Magufuli anatia sn huruma..... Nimemsikiliza leo Shinyanga unaona ni mtu ambae haitoshi kabisa na hafai kuongezewa miaka mingine 5
 
Wakati kampeni hazijaanza alikuwa mwenyewe kujiimarisha, cha kushangaza jinsi siku zinavyoenda amezidi kuporomoka na watu kumwona hana jipya kwenye kampeni zake.

Sera anazoongea hazina mashiko amebaki na sera za kukejeli na vijembe ambavyo wananchi wanaona hana kipya.

Amekaa miaka yote 5 kapunguza ajira halafu leo anakuja tena kusema ataleta ajira mil 8,mara mimi sitoki nje ya nchi ni mzalendo,ajira elfu 8 kashindwa ataweza mil 8 kama siyo kutuletea comedy, vile vile kutokwenda nje ya nchi haionyeshi kwamba we ni mzalendo ni hofu yake tu.

Kusema Lissu siyo mzalendo kisa amekaa nje ya nchi haina mashiko ni kuropoka tu maana hakuna asiye jua alienda kwa matibabu.

Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja dalili zote zinaonyesha ,wafanyakazi wamemchoka ,wastaafu wamemchoka ,vijana wamemchoka, wazee wamemchoka na kila mtu anamwona vyote anavyoongea ni usanii tu
lugha ya majumui ndo tatizo, alokwambia vijana tumemchoka ni nani?, kwendraaa!, magu piga kazi, mana hawa uliowatumbua, wamekuwa wazurulaji hawana mana zaid ya kuongea utupolo kana u! shit! wanaupotosha umma! ulioelimika shit guys com on, lets wake up together and denied this foolish post from mask men.
 
Rudi kwanza darasani maana hata kuandika hujui sitaki kujibizana na vilaza
 
Wakati kampeni hazijaanza alikuwa mwenyewe kujiimarisha, cha kushangaza jinsi siku zinavyoenda amezidi kuporomoka na watu kumwona hana jipya kwenye kampeni zake.

Sera anazoongea hazina mashiko amebaki na sera za kukejeli na vijembe ambavyo wananchi wanaona hana kipya.

Amekaa miaka yote 5 kapunguza ajira halafu leo anakuja tena kusema ataleta ajira mil 8,mara mimi sitoki nje ya nchi ni mzalendo,ajira elfu 8 kashindwa ataweza mil 8 kama siyo kutuletea comedy, vile vile kutokwenda nje ya nchi haionyeshi kwamba we ni mzalendo ni hofu yake tu.

Kusema Lissu siyo mzalendo kisa amekaa nje ya nchi haina mashiko ni kuropoka tu maana hakuna asiye jua alienda kwa matibabu.

Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja dalili zote zinaonyesha ,wafanyakazi wamemchoka ,wastaafu wamemchoka ,vijana wamemchoka, wazee wamemchoka na kila mtu anamwona vyote anavyoongea ni usanii tu
Hutu tumelichoka bora tu lirudi kwao .
 
Hutu unafikiri Ni lijitu Ni binadamu kwa maumbile tu lakini roho yake hundred pasenti ibilisi mtupu nakwambia .
 
Matreka na fuso yamefanya kazi kubwa tunashukuru kwa hilo tungeumbuka
Bila kusahau burudani maana watu wasiokuwa na kazi ni wengi mtaani wanahitaji kiburudisho kama cha kampeni za ccm
 
Wakati kampeni hazijaanza alikuwa mwenyewe kujiimarisha, cha kushangaza jinsi siku zinavyoenda amezidi kuporomoka na watu kumwona hana jipya kwenye kampeni zake.

Sera anazoongea hazina mashiko amebaki na sera za kukejeli na vijembe ambavyo wananchi wanaona hana kipya.

Amekaa miaka yote 5 kapunguza ajira halafu leo anakuja tena kusema ataleta ajira mil 8,mara mimi sitoki nje ya nchi ni mzalendo,ajira elfu 8 kashindwa ataweza mil 8 kama siyo kutuletea comedy, vile vile kutokwenda nje ya nchi haionyeshi kwamba we ni mzalendo ni hofu yake tu.

Kusema Lissu siyo mzalendo kisa amekaa nje ya nchi haina mashiko ni kuropoka tu maana hakuna asiye jua alienda kwa matibabu.

Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja dalili zote zinaonyesha ,wafanyakazi wamemchoka ,wastaafu wamemchoka ,vijana wamemchoka, wazee wamemchoka na kila mtu anamwona vyote anavyoongea ni usanii tu
Siyo ghafla.

Wewe unamjua rais gani mwingine waTanzania aliyesema atawapiga wapinzani mpaka shangazi zao?
 
Kweli kabisa,jiwe haamini pamoja na kununua ndege na kujenga flyover lakini bado wananchi hawajampokea kulingana na matarajio yake!Alitegemea wananchi watajaa kwake tu!
Asilimia ngapi ya Watanzania wanafaidika na hizo ndege?

Katika hao wachache wanaopanda, wanasemaje kuhusu huduma na nauli kabla na baada ya manunuzi haya?
 
Mgombea wa Urais wa CCM ndg John Pombe Magufuli, leo mchana alikuwa Shinyanga mjini. Baada ya hapo kesho tarehe 4/9/2020 atakuwa Simiyu akipitia Maswa.

Rafiki na ndugu yangu mmoja ni mwalimu. Yuko Maswa. Leo kapokea text message toka kwa mwalimu mkuu wake wa shule ikimtaka kuwahimiza walimu wake kuhudhuria kampeni. Ujumbe unasomeka hivi (nimeuambatanisha na andiko hili hapo chini);

"....waalike walimu wako wote kesho kuhudhuria kampeni za Urais Maswa, Mheshimiwa Rais Magufuli atakuwepo..."

Huyo mwalimu mkuu amesema naye kapokea ujumbe huo toka kwa mkuu wa idara (Afisa Elimu - Wilaya). Naye kapewa order na DED na DED kapewa order toka kwa DC na DC naye kapokea amri toka kwa RC...

Hiki ndicho wanachokifanya CCM. Wanatumia "ujinga" wa baadhi ya watumishi kulazimisha mambo yao. Ukicheki hii, ni kama mwaliko wa kawaida lakini nyuma ya pazia kuna amri.

Bahati njema rafiki yangu kasema hana taimu chafu kama hiyo unless wagawe "mshiko" yaani ingalau "night" moja hapo wanaweza kwenda ingalau kuwazuga.

Screenshot_20200903-144937.png
 
Kuna walimu humu hebu njooni mtoe ushahidi ni kweli mnahimizwa kufanya hivyo..??
 
Back
Top Bottom