Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kwani serikali bado inaongozwa na chama gani kwa sasa? Kama wapinzani wana sera nzuri na mgombea anaefaa mafuriko mbona yapo tuu, hofu ya nini??? Mimi mikutano yote ya Lowasa Mbeya 2015 nilihudhuria na wala sikuambiwa na mtu tishirt nilinunua elf 15 kofia 15 wala haikuniuma,kwa hiyo upinzani mwaka huu mbona kutetemeka kwingi, Kwani kuna wasiwasi nawagombea waliosimamishwa? Mara Magufuli katoa rushwa kununua kuku.. Leo katumia waalimu sms Kwani waalim ni watumishi wa serikali ya chama gani??????

Kudosi kwako na Tshirt unainunua na inavalika
Njoo hizi za CCM hata kuifanya tambara la deki haifai inateleza kama mlenda wa juzi
 
Kwani kibaya kitugani? Nini maan ya mualiko? Hakuna mtu aliyelazimishwa kwenda kwenye kampeni ila wao tuu wamealikwa wanamawili kukubali au kutokwenda.vita ni vita, mbona chadema wanawanunulia boda mafuta ya buku mbili hakuna mwana ccm aliyekuja kulalama.
Ukiwa green huwa ubongo unaufyata na tumbo huchukua hatamu sio?
 
Kwa jinsi Magu anavyoshika kasi ndivyo huko ufipa wanazidi kuwehuka.
 
halafu tunaambiwa DED ni msimamizi wa uchaguzi.
Harafu hii kitu eti na Upinzani umekubaliana nacho. Nchi hii yenye mihela ya kumwaga mpaka kununua mijidege kwa cash tumeshindwa kuwa na staff independent wa NEC?

CCM haitaondoka madarakani kupitia sanduku la kura kwa status-quo tuliyonayo
 
Acha uongo bwana tuma na sms ya ded kwenda kwa mkuu wa shule sio kutuambia blabla.
Lakini ni sawa tuu huyu. Ni president bado. Lakini kumbe Shinyanga inawaalimu wengi sana kuliko hata wanafunzi.
Hoja ya kitoto.
 
Hiyo ndio maana ya KAMPENI ,mimi naona chadema mkiishiwa #PUMZI mapema kabisa mwaka huu
COM IMEKAMATA KILA KONA YA NCHI.
 
Mgombea wa Urais wa CCM ndg John Pombe Magufuli, leo mchana alikuwa Shinyanga mjini. Baada ya hapo kesho tarehe 4/9/2020 atakuwa Simiyu akipitia Maswa...
Au ndo chadema mnavofanya! maaana mshajulikana mnachoma ofisi zenu wenyewe
 
Ukitumiwa info kama hio jitahidi kumlinda mtoa taarifa unamharibia mwenzio ambaye hana taimu hio wakati huo huo hela anaitaka.
 
Kampeni lazima afanye hasa ukitilia maani kuwa kuna watu kama wewe na akina Lissu ambao hamkubali kuwa wanayosema CCM wameyafanya. The strategy here ni kuyasema as many times as possible ili yawaingie na muamini kuwa waliyafanya kwani kwa macho hamtaki kuyaona, labda kwa masikio MTASIKIA. Pia ni kwa nia na lengo la kuwaeleza hawa DIASPORA NA WAKIMBIZI WA KISIASA kuwa kuna mambo yamefanyika na mengine mapya yanawekewa mikakati ya utekelezaji kama ilivyo kwenye CCM MANIFESTO or ILANI ambayo in your liking that is the Strategic Document from CCM Party Strategists.
Magufuli aliahidi 2015 ataboresha maslahi ya wafanyakazi. Hakutekeleza ahadi hiyo. Uungwana unahitaji aombe radhi halafu aeleze atakavyorekebisha makosa hayo.

Aidha, katika miaka hii 5, Magufulinomics imesababisha hali ngumu sana ya maisha kwa watanzania. Mwanzoni alipinga ukweli huu kwa kudai kwamba wenye hali ngumu ni wale wababaishaji. Pia mwanzoni alipinga kwamba biashara nyingi zinafungwa, akidai hao ni wababaishaji.

Je, hayo anayatambua? Anatarekebishaje? Kwa kujenga barabara zaidi? Usinichekeshe
 
Kwani Tatizo liko wapi hapo?

Kwani vyama vingine vinashindwa kutuma text za Namna hiyo?

Kwani kwenda kwenye mkutano nikosa?

Kwani Kila anaeenda kumusikiliza mgombea Fulani lazima ndo aje kumpigia Kura?
 
Hii ni injini kubwa kama ya Liester Peter ni mojawapo ya Injini mbalimbali zinazoshambulia kila kona ya nchi kusaka kura za Urais,Ubunge na Udiwani yaani operesheni "kijani burudani" ushindi asilimia 98% huku 2% tukimuachia Mzee Rungwe kwa ucheshi wake.

IMG_20200903_181240.jpg
IMG_20200903_181247.jpg
 
Kwani kibaya kitugani? Nini maan ya mualiko? Hakuna mtu aliyelazimishwa kwenda kwenye kampeni ila wao tuu wamealikwa wanamawili kukubali au kutokwenda.vita ni vita, mbona chadema wanawanunulia boda mafuta ya buku mbili hakuna mwana ccm aliyekuja kulalama.
Wewe sio mfuatiliaji. CCm technologia inawaumbua sana safari hii, haujaona barua ya VC wa UDOM akilazimisha wafanyakazi kwenda kwenye ufunguzi wa kampeni za ccm? Robert Amstadarm kasema ana compile ushahidi...... unadhani watu hawajui maouvu yenu? mtakoma
 
Kwa jinsi Magu anavyoshika kasi ndivyo huko ufipa wanazidi kuwehuka.
Kasi gani ya kuongeza WASANII WA BONGO FLAVER???? Hahaha kujisifu kote kule hadi wasanii ndo watu wajae???? Mbutaaaa
 
Kwani Tatizo liko wapi hapo?

Kwani vyama vingine vinashindwa kutuma text za Namna hiyo?

Kwani kwenda kwenye mkutano nikosa?

Kwani Kila anaeenda kumusikiliza mgombea Fulani lazima ndo aje kumpigia Kura?

Soma maelezo kwa ufasaha, utaelewa. Nyuma ya pazia wala siyo mwaliko bali ni lazima na utakuta na daftari la mahudhurio...!

Tatizo lako inawezekana huijui serikali hii inayoongozwa na CCM chini ya Pombe Magufuli. Ni ya kishenzi na ubabe mtupu...!!
 
Leta ushahidi wa kuwepo mahudhulio ndugu otherwise nitakuona Kama mpiga Domo tu Kama wapiga domo wenzio.
 
Back
Top Bottom