Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Kwani serikali bado inaongozwa na chama gani kwa sasa? Kama wapinzani wana sera nzuri na mgombea anaefaa mafuriko mbona yapo tuu, hofu ya nini??? Mimi mikutano yote ya Lowasa Mbeya 2015 nilihudhuria na wala sikuambiwa na mtu tishirt nilinunua elf 15 kofia 15 wala haikuniuma,kwa hiyo upinzani mwaka huu mbona kutetemeka kwingi, Kwani kuna wasiwasi nawagombea waliosimamishwa? Mara Magufuli katoa rushwa kununua kuku.. Leo katumia waalimu sms Kwani waalim ni watumishi wa serikali ya chama gani??????
Kudosi kwako na Tshirt unainunua na inavalika
Njoo hizi za CCM hata kuifanya tambara la deki haifai inateleza kama mlenda wa juzi