Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Poleni
Hapa ni Magu
 

Attachments

  • FB_IMG_1599392332804.jpg
    82.2 KB · Views: 1
Julisha km TBC haikatiki sauti
 
Degrees of insanity in the making
 
Hahahahhahaaaaaaa
 
HITRA...[emoji1752][emoji1787][emoji1536][emoji1536]pamoja sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana Temeke walizoa watu kuelekea Mwembeyanga kwa ujira wa 5-20. Dau lilitofautiana kulingana na hadhi yako. Kuna mpumbavu alitaka anipe 15 niende kwenye mkutano wa Samia Suluhu nikamwonyesha misimbazi mingi akabaki anaduwaa tu
 

Huu ni mwanzo tu wa kampeni kwa vyama pinzani, lakini ona wanavyo kipelekesha ccm na wagombea wake amao walfanya kampeni kwa miaka yote mitano wakati wengine wakinyamazishwa.
Najaribu kufikiria kama wote wangeruhusiwa kufanya kmpeni kwa miaka yote mitano, basi ccm wasingekuwa na la kusema.

KAMA MIAKA MITANO YA KAMPENI HAWAKUWAZA KUWASHAWISHI WATU, JE KWA HII MIEZI MIWILI WATAFANIKIWA KWELI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…