uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Subiri akija kanda yako unayoishi ataongea lugha unayotaka wewe,sio lazima umfatilie kwenye mitandao na media.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Julisha km TBC haikatiki sautiKila nikijaribu kufuatilia kampeni za mgombea wa CCM huko kanda ya ziwa nashindwa kuelewa kutokana na kilugha linachoongelewa huko TBC. Kwa maoni yangu tumerudi nyuma miaka 80 wakati kila kabila likiongea lugha yake Tanzania. Tufanye nini tuondokane na hali hii? Jambo hili ni hatari kwa mshikamano wa taifa letu.
Degrees of insanity in the makingKila nikijaribu kufuatilia kampeni za mgombea wa CCM huko kanda ya ziwa nashindwa kuelewa kutokana na kilugha linachoongelewa huko TBC. Kwa maoni yangu tumerudi nyuma miaka 80 wakati kila kabila likiongea lugha yake Tanzania. Tufanye nini tuondokane na hali hii? Jambo hili ni hatari kwa mshikamano wa taifa letu.
HawakatiJulisha km TBC haikati sauti
HahahahhahaaaaaaaMikutano mingi ya CCM imejaa watoto. Hivi hawa watoto CCM huwa mnawatoa wapi? Angalia walivyo jazana hapo kwenye kampeni za CCM.
Ni muda wa kutunga sheria ya kuwazuia watoto wasishiriki kwenye mikutano ya kisiasa hasa katika kipindi hiki cha kampeni.
Ipo siku mgombea atakuja kujikuta anahutubia watoto.
View attachment 1560297
Kwa maguvu na maloriPoleni
Hapa ni Magu
Haahaa! kumbe mitambo yao wakiongea wapinzani inakata?Hawakati
HITRA...[emoji1752][emoji1787][emoji1536][emoji1536]pamoja sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli kila anapopita,kama vile Hitra alipopita Poland majeshi yalijisalimisha, kwa nini aendelee kujichosha wakati yale aliyoyafanya yananena.!!!
Kama ni lazima kupita kwa wananchi zungumza maneno machache ; AHSANTE KWA MIAKA MITANO MINGINE NITAENDELEA KUFANYA NA KUFANYA ZAIDI.
Inaumwa ikisikia kweli, kweli tupu inapata kifafaHaahaa! kumbe mitambo yao wakiongea wapinzani inakata?
Magufuli kila anapopita,kama vile Hitra alipopita Poland majeshi yalijisalimisha, kwa nini aendelee kujichosha wakati yale aliyoyafanya yananena.!!!
Kama ni lazima kupita kwa wananchi zungumza maneno machache ; AHSANTE KWA MIAKA MITANO MINGINE NITAENDELEA KUFANYA NA KUFANYA ZAIDI.
Ubaya wa CCM wanalipia baadhi ya hayo malori one way ticket, hivyo mkutano ukiisha wengi wanajikuta wanapiga gwaride kilometa hata 20 kurudi nyumbaniKwa maguvu na malori
Kuingia barabarani muhimu mwaka huu.wale waliomzomea wamemchanganya kabisa leo. yani huyu jamaa dawa yake ndogo sana watu wakiingia barabarani wiki moja anakimbia nchi.