Itabidi sasa tuongee kiingereza.Kila nikijaribu kufuatilia kampeni za mgombea wa CCM huko kanda ya ziwa nashindwa kuelewa kutokana na kilugha kinachoongelewa huko TBC.
Kwa maoni yangu tumerudi nyuma miaka 80 wakati kila kabila likiongea lugha yake Tanzania.
Tufanye nini tuondokane na hali hii? Jambo hili ni hatari kwa mshikamano wa taifa letu.
Sio ikulu mpyaHuu ni wkt mwafaka wa kuwaondoa ccm....... Wanazidi kuharibu nchi yetu nzuri
Hili swali ulitakiwa uulize kabla ya kuongoza propaganda.Kwahiyo mwanza wanakaa wasukuma tu.
Jibu swali acha kula kona gambaHili swali ulitakiwa uulize kabla ya kuongoza propaganda.
Sheria za utangazaji na vyombo vya habari inakataza matumizi ya lugha za kikabila katika matangazo ya vyombo hivyo. Vinginevyo kwa jinsi tunavyowafahamu baadhi ya ndugu zetu, kungekuwepo na utitiri wa redio za kikabila kama ilivyo huko Kenya na Uganda. Watanzania hatukuyazoea mambo ya ulugaluga hasa kwenye mikutano mikubwa kama hii. Hali hii huleta utengano na kutokuaminiana kwani unaweza kufikiria kwamba hao walugaluga wanawasengenya.Kwani sheria ya uchaguzi inasemaje kuhusu kutumia lugha zisizo rasmi kwenye kampeni za uchaguzi, au wakati mwingine kuna mahali hivi visheria vinakuwa kwenye usingizi mzito sana..
Sema una kaushabiki... NaJF imeanza kuwa tainted..sio kisima cha fikra huru Tena. Ukienda kwa warumi ongea kirumi..Tunahisi kubaguliwa sisi tusioelewa kilugha hicho. Tunamwomba aongee lugha rasmi Kiswahili ili na sisi wengine tumwelewe.
Asante kwa video hii mkuu. Naituma kwa mtu wa tume aisikilize.
Yaani wewe hujielewi kabisa....hiyo ni sawa sawa na rushwa...miccm bwana sijui ipojeSema una kaushabiki... NaJF imeanza kuwa tainted..sio kisima cha fikra huru Tena. Ukienda kwa warumi ongea kirumi..
Vijana hampigi kura kutwa kwenye mitandao kupiga soga.. mwanasiasa yeyote Mwenye akili anajua umuhimu wa watu wa vijijini ambao wengi wao Kiswahili hawakijui Kama unavyotaka Kujiaminisha.
Na kiongozi Kama utashindwa kuongea yale yanayogusa moyo wao kura hupati.. labda kitu usichokijua Duniani kote sera haikupeleki ikulu.. Ni ushawishi..
Sasa wewe nenda bukoba/umasaini au Ihemi na Tungamalenga huko uwashawishi na maneno yako ya mchakato uone Kama utapata kura..
Na kinachosikitisha ..na haka kanakuwa katrend humu-jf watu aidha kuongezea chunvi Sana matukio ya kampeni au kuyabadilisha badilisha kusuit their narrative,. Ni aibu kwa msomi kupindisha data aonekane yuko Sahihi... Na hii iwafikie wote vyama vyote na moderators mnaua brand ya JF.
Btw. Kwanza kwa hilo la kisukuma unayo picha ya video au rekodi ya sauti ya kampeni iliyoendeshwa kwa Kisukuma mwanzo mpaka mwisho!? Na Kama ipo haina version ambayo aliielezea kwa Kiswahili!?
Pili wewe upo Mwanza!? Katika eneo analoahidi na kumwaga sera allegedly fully kwa kisukuma!? Kama hapana una ndugu, jamaa au rafiki maeneo hayo ambaye amesema hakuelewa!? Kama huna jamaa na wala huna ndugu huko..
Kwann unataka sana kujua wao wameahidiwa Nini!? Wivu!? Tamaa!? Au!? Kwann wewe mtu wa temeke uwe very interested kujua Mlele wameahidiwa Nini!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ukiona hivyo hayakuhusu yanawahusu wasukuma!Tunaomba mkalimani awepo sisi hatuelewei kisukuma kuna muda tunaona kama anatutukana.
Huwezi kutumia neno hujielewi.... Umewahi kushiriki kampeni!? Umesoma Ilani za vyama vyote ukakutana na iliyo mbaya!? Inayotaka watu wawe masikini, wafe kwa njaa na waishi maeneo yenye miundombinu mibovu!? Kinachokupeleka ikulu sio ilani ni ushawishiYaani wewe hujielewi kabisa....hiyo ni sawa sawa na rushwa...miccm bwana sijui ipoje
Mtanyooka tu awamu hii na ijayo!Hhhahahaa Ila huyu jamaa ni zumbukuku na mwoga eh...eti anasema ni kma umeweka chakula Cha mwanao ukaja ukawapa majirani...Sasa ole wenu mchague majirani..anaumwa huyu jamani ...kuwatisha watu namna hii jaman utadhani sio nchi yao!!...
Magufuli acha kutisha watanzania wewe! Rudi nchi yako😒😏
M
Muoneeni huruma jamani juzi shalomwamba kampigisha magoti wakasali singeli leo mntataka aruke ruke
wale waliomzomea wamemchanganya kabisa leo. yani huyu jamaa dawa yake ndogo sana watu wakiingia barabarani wiki moja anakimbia nchi.
Dah, Na wewe ni great thinker?Subiri akija kanda yako unayoishi ataongea lugha unayotaka wewe,sio lazima umfatilie kwenye mitandao na media.
Mlisema Lissu amejaza Watu mwanza.Baba kaingia ,Watu mpaka barabarani wanamsubiri.Huyo ndio Rais wa Africa bwana.Hiyo ni effect of localized mentality...hawajui kinachomata ni alichoongea na siyo alikoyaongelea.