Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Unajua sera za vyama vya upinzani kuhusu muungano na muundo wake ? Huu ni mfano wa namna CCM tuna SERA ambazo hatuwezi kuzilingalisha na wengine, inashangaza kuwa unataka ulinganishe sera za CCM na vyama vingine.
Pili, msingi wa hoja yangu ni kauli zako ulizozitoa kuwa mgombea wetu hana ushawishi wa kisera na anatumia kilugha kama njia ya kushawishi , na sisitiza tumekuwa tukishinda chaguzi sababu tuna ushawishi wa kisera kwa wapiga kura wetu nchi nzima bila kujali tofauti zao, na hata huyu JPM u ayedai hana ushawishi na hawezi kuuza sera zetu, hakuchaguliwa kwa sababu nyingine , ni kwakua aliweza kuuza sera zetu kwa ushawishi alionao kwa wapiga kura, si kwasababu ya kabila lake. Tatu si kweli kuwa kiswahili ni lugha ya wasomi, kiswahili ni lugha ya watanzania wote, na inazungumzwa nchini kote bila kujali kiwango cha elimu cha mzungumzaji.
Mwisho, narudia kusisitiza kuwa JPM hajahutubia kwa kilugha, alisalimia kwa kilugha, hajatoa AHADI MAALUM YA SIRI kwa wazungumzaji wa kisukuma,AMESALIMIA kwa kilugha. Kama unaushahidi wa JPM kuhutubia kwa kiligha wewe ndiyo uuweke, vinginevyo ni jitihada zenu za kukichafua chama huku mkijifanya wanachama
Ziada: Nilitegemea utasema mimi si mwana CCM kwakua ndiyo imekuwa kauli yenu mapandikizi, mnapo kizushia maneno chama (soma viongozi) tukiwasahihisha hilo ndilo jibu lenu. Lakini ukweli ni kuwa HAKUNA hotuba ya kilugha kama ipo, iweke. Na sera zetu ni bora kwa ustawi wa watu na taifa, kama hutaki, wafuate unaoona wana sera kutuzidi.
 
Ofcourse hana kete nyingine. Flolyover na Stigler zimegonga mwamba.
 
Kwa

kwani sheria za uchaguzi zinasemaje? tusinajsi akili zetu. ebu leteni sheria ya uchaguzi kuhusu lugha
Kwani kila kitu lazima kiwe na Sheria?

Mwishoe tutapeana Sheria ya kuongea na wake zetu.

Kikubwa hapo ni Mawasiliano.
 
Huyo Askofu tapeli gwajima mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
Sio kila mkazi wa mwanza ni msukuma!Kuweni na uelewa,mnatia kinyaa kwa hii tabia yenu ya kutstea kila jambo!
Kuna haja gani ya kuwa live wakati unahutubia kisukuma!
Usitofokee bana, mbona kaka yako alivyokuwa kwao singida alionge kinyiramba hakuna mtu aliyelialia kama nyie.
 
Wivu tu. TZ ongea lugha yoyote. Utanaka tuwe tunaongea viingeleza Kama Ubelgiji?

Kusukuma ni Kanda ya Ziwa..

Mkikosa kabsa Sera mnataka Hadi watu waache kuwasiliana kwa ukaribu?

Mtu anaongea na watu wa Mwanza unataka hadi wewe uelewe?
Maskini mataga huyu
 
Hujielewi ,,, hujui sheria inasemaje kuhusu tumia lugha zisizo rasmi
Magufuli ba lissu ni nani anayejua sheria zaidi? Jibu ni lissu lakini kwao singida lissu aliongea kilugha hakuna aliyekuja hapa kulalamika si wa chadema si wa CCM .kunya anye kuku akinya bata kaharisha.
 
Magufuli ba lissu ni nani anayejua sheria zaidi? Jibu ni lissu lakini kwao singida lissu aliongea kilugha hakuna aliyekuja hapa kulalamika si wa chadema si wa CCM .kunya anye kuku akinya bata kaharisha.
mtu hajui sheria mnampeleka wapi sasa
 

Kuna Sera na Ilani.. Sera za chama Cha Mapinduzi Ni sera zinaendelea kuinfluence utendaji wa Serikali mpaka kufikia leo kwenye uchumi wa Kati. Sera huandaliwa na wataalamu wabobezi wa maswala ya kisera na ninachokwambia ni kuwa sera zote huwa ni njema uzisome Ukipata wakati. Kinachotofautisha CCM na wengine Sisi CCM sera zetu zinatekelezeka na tunao mfumo thabiti wa kuzitekeleza tangu Uhuru.

Manifesto au Ilani ni tangazo la hizi sera nzuri tulizo nazo. It's a marketing documi ya sera zetu.. na wakati wa kipindi Cha Kampeni tunachofanya ni kuzinadi.. kuonesha zetu ni Bora kuliko za wengine that's it.. hence ushawishi. Na hapa ndipo tunaendelea kufanya vyema zaidi maana tunazungumza na Watanzania wote hata wasiojua Kiswahili lengo ni wote waisikia na wazielewe ahadi na sera zetu.

Hoja yangu kwa mtoa Mada ilikuwa Kama watu was mwanza walioko mkutanoni hawajalalamika kwann yeye aliyeko mile 500 mbali Ndiye alalamike!? Na nikaonya huu sio ufikishaji ujumbe ni propaganda tu. Sasa bwana Abou ni kipi wewe unashindwa kuelewa ?

"Mwisho, narudia kusisitiza kuwa JPM hajahutubia kwa kilugha, alisalimia kwa kilugha, hajatoa AHADI MAALUM YA SIRI kwa wazungumzaji wa kisukuma,AMESALIMIA kwa kilugha."

Hapa nashindwa kukuelewa.. wewe unachokataa ni Nini.. maana Mimi mwenyewe nimeomba mleta mada anipe video inayomuonesha Mh. Dkt. JPM akizungumza kisukuma mwanzo mpaka mwisho..maana siamini Kama ipo.. wewe unataka nini!? Au husomi hizi reply kwa utulivu!?

Mwisho Uamuzi wa kuniita pandikizi au kuamini vyovyote ni wako... CCM inaendesha serikali huru na tunapromote Uhuru wa fikra pia.. despite the picture painted by many in this platform.. Ninaomba Nitumia fursa hii Kumuombea Mwenyekiti wangu wa chama na Mgombea Wa Urais Kwa Tiketi ya CHAMA CHA MAPINDUZI Dkt. John Magufuli kura ya Ndiyo ([emoji3581]) kutoka kwako bwana abou

Narudia Tena: Kiswahili Kuna mahali hakijulikani (Nakushauri tembea)

Na Sheria Inaruhusu kuzungumza Kilugha ilimradi awepo mkalimani na kama inahitajika.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Una upeo mdogo kuliko mwanao(ama unaye ). Kama unabisha sema nikwambie sababu.
 
Magufuli ba lissu ni nani anayejua sheria zaidi? Jibu ni lissu lakini kwao singida lissu aliongea kilugha hakuna aliyekuja hapa kulalamika si wa chadema si wa CCM .kunya anye kuku akinya bata kaharisha.

Kwa hiyo hata ndiyo huyu?

Ama kweli ni bata hujakosea mkuu. Kwa silika bata ni mchafu kweli kweli.

Huyu bwana ana mdomo mchafu haswa.
 
Watu wa kanda ya ziwa mwenyewe wanaelewa mkuu hawezi kufika uchagan akaongea kichaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…