Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Unataka msanii atoke Ccm aende wapi? Kwa wale wahuni wanaotukana jukwaani?
Kuna ng'ombe mmoja kila siku anatutukania mama zetu shamgazi zetu etc.....
Usimfananishe Lissu na hiyo takataka yenu
 
Yule mropokaji aliyemdanganya robertison wa Amsterdam kuwa anakubalika Tanzania atalia na kusaga meno
Kuna ng'ombe mmoja kila siku anatutukania mama zetu shamgazi zetu etc.....
Usimfananishe Lissu na hiyo takataka yenu
 
Lesbo kwa raha zake [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nilijuuuuaaaaaaa😆😆😆😆 Raha ua ule mwili unamkabidhi mwanaume😋😋...mwili ule unamkabidhi mtu Kama Bashite au mwanamke mwenzako?? Kwendraaaaa
 
Nilijuuuuaaaaaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Raha ua ule mwili unamkabidhi mwanaume[emoji39][emoji39]...mwili ule unamkabidhi mtu Kama Bashite au mwanamke mwenzako?? Kwendraaaaa
Tatizo ni kwamba unauzungumzia mwili wa mtu mwingine, hajaja kutaka kukusugua wewe, anafanya sirini kama ambavyo kila mtu ana siri zake za chumbani, ni mwili wake, starehe zake.

"Stop peeping into people's bedrooms"
....in Lissu's voice. (Our future president..in his dreams).

Forgive my ngeli..
 
Hhhaahaaa sawa ..naacha!
 
1. Anagawa vyeo wakati sijui nani atakua balozi wapi wakati uchaguzi bado

2. Anatishia wapiga kura majukwaani as if anajua kura zao hazi count.

3. Amejikausha kama sio yeye vile . hataji tena kero za board ya mikopo elimu ya juu kutolewa kibaguzi, haongelei kabisa maslahi duni ya wafanya Nazi , sijasikia akitaja ufisadi majukwani.
4. Kajikaushaa Hajaongea chochote wapi ilipotelea ahadi ya milioni 50 kila kijiji

5. Anaendelea kuwabagua wananchi kiitikadi

Nabado hapo bado tupo mwanzo tu
 
Kila moja na maisha yako na maamuzi yake, atafanya kulingana na alivyoguswa na
utawala huu wa Magufuli.

Kwakweli mimi nisiwe mnafki siwezi kumpigia kura kwa sababu moja kuu, nimempotezea jirani na rafiki yangu kipenzi Beni Saanane tuliyeshibana tangu akiwa mtoto mimi nikiwa kama kaka yake, amepotea ndani ya utawala huu ambapo wana vyombo vyote vya usalama kumtafuta alipo, mpaka leo hajaonekana.

Alikua kama mtani wangu mimi nikiwa CCM na yeye CHADEMA, nimemfunda siasa jamaa yangu huyu mimi ni kama mwalimu wake. Tangu nisikie kua Waziri mkuu akitamka bungeni serikali haijui alipo, nilichana kadi ya CCM hadi leo sina chama ila kura nitapiga.

Ila nisiwe mnafki Magu mimi simpi kura yangu.

Wewe umeguswa vipi na Magu katika maisha yako kiasi cha kupelekea kumpigia au kutompigia kura Magu?
 
Kuchana kadi ilikuwa maamuzi uliyoyafanya kwa kutumia hasira.
 
Kila moja na maisha yako na maamuzi yake, atafanya kulingana na alivyoguswa na utawala huu wa Magufuli.

Kwakweli mimi nisiwe mnafki siwezi kumpigia kura kwa sababu moja kuu, nimempotezea jirani na rafiki yangu kipenzi Beni Saanane tuliyeshibana tangu akiwa mtoto mimi nikiwa kama kaka yake, amepotea ndani ya utawala huu ambapo wana vyombo vyote vya usalama kumtafuta alipo, mpaka leo hajaonekana...
Kwa kuhakikisha maisha ya watumishi wa Umma yanakuwa magumu na kuhakikisha vijana wanaomaliza vyuo vikuu hawapati ajira.
 
Kumekuwa na ukusanyaji wa watu kutoka vijijini na kuwapeleka mikutanoni mijini.

Alafu wakisha wajaza uwanjani wanajisifu eti oooh sisi tunapendwaaaaa, tazama watu walivyo jazana hapa mjini.

Tazameni hii video clip jinsi watu wanavyo shushwa kutoka vijijini leo hii pale furahisha jijini mwanza kwenda kirumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumekuwa na ukusanyaji wa watu kutoka vijijini na kuwapeleka mikutanoni mijini.

Alafu wakisha wajaza uwanjani wanajisifu eti oooh sisi tunapendwaaaaa, tazama watu walivyo jazana hapa mjini...
Sasa watu wanaokuja kwenye mikutano ya kampeni ulitaka watembee kwa miguu?, Mfano mie nakaa ubungo kuwe na mkutano kimara nitembee kwa miguu ili nigundue nini ?
 
Kumekuwa na ukusanyaji wa watu kutoka vijijini na kuwapeleka mikutanoni mijini.

Alafu wakisha wajaza uwanjani wanajisifu eti oooh sisi tunapendwaaaaa, tazama watu walivyo jazana hapa mjini...
Hata Tanga, Rahaleo, Tashrif, Ratco (kabla haijafa), Simba Mtoto na mabasi mengine mengine mengi , hata malori mbona ndiyo huwa kazi yao ya kukusanya watu. Wanajua fika kuwa wamekataliwa, hivyo hukusanya watu. Wakimaliza huwa wanawatelekeza uwanjani !
 
Back
Top Bottom