Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Yaani kinyago tukichonge wenyewe halafu kinatutisha! Dawa ni kukichoma moto tu ili kigeuke kuwa majivu.
 
Kuna mazuzu fulani walituambia Magufuli amesha shinda hata kabla ya kampeni hizi, tukamwambia basi amshauri achukue likizo ya kikazi aende Chato hadi 28.10.2020.

Nafikiri wanapata Kihoro kwani walichotegemea sicho. Kihoja yule waliokuwa wanasema hana sera amepandisha joto kiasi kwamba nguvu kubwa unatumika asisikike.

Kwa mfano hotuba ya Mtwara ya yule jamaa wasiompenda inafumbua watu macho kuhusu yale yanayo endelea nchini. Maendeleo ya kweli ni matunda ya UHURU, HAKI, na KAZI.
 
Tukio:Fiesta CCM

Tarehe:7/9/2020

Ukumbi:Uwanja wa CCM Kirumba

Kiingilio:Bure

Muda:Kuanzia saa 11 asubuhi mpk kuchweeee

Usafiri:Mabus ya kuwabeba mashabiki wa Diamond yatakuwepo na ni bure kabisaa

Msemo wa Mwaka huu ni:Mara Paaaaaap msinizomeeeee,NITAONDOKAAA.

Karibuni saaaana
 
Huyu mama hapanaa...Kanitokaa kabisaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani hakuna mtu mulee fisiemu wote roho mbaya wamezaliwa nazooo. Majaliwa na Huyu mama wote nishawaona ni wale wale..
 
Tunakoelekea ni kubaya sana kwa kauli anazotoa mgombea wa ccm ndugu yetu John Pombe Magufuli za kuligawa taifa kwa ubaguzi wa wazi wazi anaoonyesha katika kampeni zake. Hivi Kiongozi mkubwa anayeongoza taifa anaweza kudiriki kutamka mbele ya wananchi kwamba mkichagua chama kingine mtajuta sitawaletea maendeleo?

Kwa nini anyang'anye uhuru na utashi wa wananchi? Kwa nini awaone wapinzani kama siyo Watanzania? Huyu atasababisha watu kuchukiana, ccm mwonyeni mgombea wenu ana lugha za kibaguzi. Kwani watu wakichagua chama kingine wamechagua warundi au ni Watanzania wenzetu? kauli hizi siyo nzuri. Magufuli acha ubaguzi eleza sera za chama watu watakuelewa tu
 
Kwa hapa duniani haki na usawa ni story za kufikirika , jiulize wewe mwenyewe hapo ulipo unatenda haki na Kwa usawa Kwa kila unalolifanya? Kama ni hamna bas ujue Kwa aspect zote za maisha ikiwemo na siasa hakuna usawa wala haki
 
KWANI IMEANZIA KWA MAGUFULI MBONA NI KAWAIDA HIYO MNAPOSEMA UKICHAGUA CCM UNACHAGUA UMASKINI MLIKUWA NA MAANA GANI, KWANI TUMEANZA LEO KUSIKIA HIZO.

SASA KAMA UPINZANI MNA TABIA YA KUKIMBIA BUNGE KUKATAA KUPITISHA BAJETI NA KUENDELEA KUMTUKANA RAIS MNAONA MNATENDA SAWA SIYO UBAGUZI HUO.NYIE NDIYO WAGAWAJI WAKUBWA WA TAIFA.
 
KWANI IMEANZIA KWA MAGUFULI MBONA NI KAWAIDA HIYO MNAPOSEMA UKICHAGUA CCM UNACHAGUA UMASKINI MLIKUWA NA MAANA GANI, KWANI TUMEANZA LEO KUSIKIA HIZO.

SASA KAMA UPINZANI MNA TABIA YA KUKIMBIA BUNGE KUKATAA KUPITISHA BAJETI NA KUENDELEA KUMTUKANA RAIS MNAONA MNATENDA SAWA SIYO UBAGUZI HUO.NYIE NDIYO WAGAWAJI WAKUBWA WA TAIFA.
Andika kwa herufi ndogo mkuu
 
HEBU MWACHENI MZEE MANGULA AHUDUMIE TAIFA, MLIPOSEMA WATUMISHI WANAOTEULIWA WAMEOKOTWA JALALANI SIYO UBAGUZI HUO?? POOR CHADEMA
 
Tunakoelekea ni kubaya sana kwa kauli anazotoa mgombea wa ccm ndugu yetu John Pombe Magufuli za kuligawa taifa kwa ubaguzi wa wazi wazi anaoonyesha katika kampeni zake. Hivi Kiongozi mkubwa anayeongoza taifa anaweza kudiriki kutamka mbele ya wananchi kwamba mkichagua chama kingine mtajuta sitawaletea maendeleo? Kwa nini anyang'anye uhuru na utashi wa wananchi? Kwa nini awaone wapinzani kama siyo Watanzania? Huyu atasababisha watu kuchukiana, ccm mwonyeni mgombea wenu ana lugha za kibaguzi. Kwani watu wakichagua chama kingine wamechagua warundi au ni Watanzania wenzetu? kauli hizi siyo nzuri. Magufuli acha ubaguzi eleza sera za chama watu watakuelewa tu
Jiwe ambalo hawajalikataa waashi limekuwa jiwe kuu la kujengea ngazi ya kupiga plasta. Linakanyagwa na fundi, msaidia fundi na kibarua.

Hehehehe....

Mungu yu mwema kila wakati. Hatimaye aliyejiona kiongozi wa malaika hivi sasa anaomba angalau apate nafasi ya kupiga deki vyumba vya malaika....
 
Nipo hosp. ila nimecheka Sana kwamba hajaanza Kula mahindi kwani yeye genda eka? Kipindi hiki atakula hadi michembe matobolwa mlenda aina ya mwage wamdhibiti Kula asijeleta shida ya kuchimba dawa mara ooh tumbo maana anaweza kwenda sehemu akala maboga, mahindi ya kuchoma, miwa, mayai akajikuta anapiga viboli.
Hahaaa.... Umeau mkuu🤣🤣
 
Back
Top Bottom