Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

kwa maoni yangu hakuna mwengine kati ya wanaogombea urais ambaye anaweza mikikii mikikii.... nginja.... ngija kama Rais Magufuli.
unajua ni muhimu sana pia kupima uimara wa afya ya mgombea wa urais.....maaana urais sio kazi lelemama...inahitaji uimara wa afya pia.
 
Hahah naona hapo kapigwa tanganyika jeki.
Hivi hawezi kuwatrace hawa manjagu akawaadabisha kwa kumpiga tanganyika jeki 'muheshimiwa' kama ambavyo Meko amedeal na wote waliowahi kumpa shit akiwa bado kidampa?
 
Usimlinganishe Magufuli na vikaragosi!

Kama yule Membe ni bure kabisa!

Aluzuzuka na maneno ya mtandaoni eti jasusi mbobevu
 
alisema ukweli askari wa tanzania hawezi kupiga risasi 30 mtu mmoja asife hao ni wahuni tu walikodiwa na wadeni wa lissu msimuone lissu kama mtu safi sana ana yake yanayomfanya kuwa na maadaui wengi kama hivyo waka mtwanga risasi
Wadeni wa lissu wakaondoa ulinzi katika maeneo ya viongozi yanayolindwa 24/7?Wadeni wa Lissu wakazuia uchunguzi!Wadeni wa Lissu wakamnyima haki yake ya kugharamiwa matibabu!Wakampoka a ubunge!
Kweli wadeni wa Lissu wana nguvu!
 
Siyo mipasho ni ukweli mchungu
Mkiwa hamna hoja,kuweni wasomaji tu!Kwa utopolo huu hata mataga wenzako watapita kushoto!
Unaanzisha uzi kwa ajili ya mipasho utasema hili ni jukwaa la taarabu,shame!
 
Back
Top Bottom