Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Ukifuatilia kampeni zinazoendelea haswa za wagombea urais utabaini kuna baadhi ya wagombea tayari wameshatepeta au kwa lugha nyepesi wamesha choka, ila utabaini kuwa japo magufu anatumia sana usafiri wa gari na kampeni za mkoa kwa mkoa wilaya kwa wilaya lk bado anaonekana ana energy/nguvu ya kutosha kila anapo pita...
MAGUFULI O yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hahahahaaaa, una akili sana ndugu yangu, huu ndio ukweli mchungu
Hakuna mtu wa kushindana na JPM,isipokua kwa kua wengine wako kwenye kutafuta maisha wapate chochote kwenye ruzuku, acha waendelee kujitafutia
 
Si mtoto was kiislam huyu ilikuwaje akavuliwa ushungi na miwani maana naambiwa mtu anayetakiwa kuona nywele ni mmewe peke yake sasa DAB ilikuwaje akaona nyweleeeee... Haya mambo banaa
 
Kaharibu sana kuhusu shambulio LA Lissu.
Sijui alipatwa na nini hadi kutamka vile wakati ni mama mpole na mwenye huruma. Hata akivua hijab anaonekana ni mtulivu na kama alivyosema Magufuli ni mweupe na mzuri. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1561200
Hana huruma yoyote huyo mama mnampaka sifa ambazo hana
 
Hakuna mtu wa kushindana na JPM,isipokua kwa kua wengine wako kwenye kutafuta maisha wapate chochote kwenye ruzuku, acha waendelee kujitafutia

Nimecheka sana jana, kazomewa kidogo tu katishia kuondoka hahahahaaaaaa! Hapo bado, siasa bana
 
Mkiwa hamna hoja,kuweni wasomaji tu!Kwa utopolo huu hata mataga wenzako watapita kushoto!
Unaanzisha uzi kwa ajili ya mipasho utasema hili ni jukwaa la taarabu,shame!
Wakipita pembeni kwa sababu wanaelewa nilichowasilisha ndio ukweli mtupu hakuna wa kupambana na magu!
 
alisema ukweli askari wa tanzania hawezi kupiga risasi 30 mtu mmoja asife hao ni wahuni tu walikodiwa na wadeni wa lissu msimuone lissu kama mtu safi sana ana yake yanayomfanya kuwa na maadaui wengi kama hivyo waka mtwanga risasi
Huyu sijui walikua wanamdai pikipiki za wajumbe?
CIMG4859.JPG
 
Back
Top Bottom