Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na ukweli lazima tuuseme hadharani, CCM ina hali mbaya na inazidi kuwa tete kila uchao.

Wamejaribu kutumia viongozi wa dini kusifu na kuabudu juhudi, ngoma imegoma. Alichokipata PM huko alikoenda wote tumeona na hata mikutano ya mama isiyokuwa na wasanii tunaona hali ilivyo tete..
Siku hizi hakuna fahari Kuna JF member. Hakuna Great Thinkers kabisa.

Suala la Kikwete kushiriki Kampeni ni suala la utamaduni tangu enzi.

Nyerere alishiriki Kampeni akiwa mstaafu, Mwinyi alifanya hivo, Mkapa alifanya hivo sasa kwa Kikwete AJABU iko wapi.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na ukweli lazima tuuseme hadharani, CCM ina hali mbaya na inazidi kuwa tete kila uchao.

Wamejaribu kutumia viongozi wa dini kusifu na kuabudu juhudi, ngoma imegoma. Alichokipata PM huko alikoenda wote tumeona na hata mikutano ya mama isiyokuwa na wasanii tunaona hali ilivyo tete...
Kwa jinsi JPM alivyomnanga atafanya lakini nafsi haikubali.
 
Siasa za Tanzania ni kamlango ka dhambi isiyosameheka aisee
Hakika.
Mtu mwadilifu hawezi kufit kwenye siasa, hasa. hasa za nchi za dunia ya tatu, yaani nchi nyingi za Kiafrika na Latin Amerika.
Kwa nje mtu anaonekana kama Malaika kumbe anaishi kwa masharti ya mganga wa kienyeji. Mambo anayofanya sirini hayatamaniki hata na yeye.
Vijana Someni kwa bidii ili muweze kujitegemea.
Bora kuishi maisha ya wastani yenye haki, amani na upendo wa kweli.

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi hakuna fahari Kuna JF member. Hakuna Great Thinkers kabisa..
Suala la Kikwete kushiriki Kampeni ni suala la utamaduni tangu enzi,
Nyerere alishiriki Kampeni akiwa mstaafu, Mwinyi alifanya hivo, Mkapa alifanya hivo sasa kwa Kikwete AJABU iko wapi..
Wewe huoni tofauti?? Ondoka hapa wewe sio GT
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na ukweli lazima tuuseme hadharani, CCM ina hali mbaya na inazidi kuwa tete kila uchao.

Wamejaribu kutumia viongozi wa dini kusifu na kuabudu juhudi, ngoma imegoma. Alichokipata PM huko alikoenda wote tumeona na hata mikutano ya mama isiyokuwa na wasanii tunaona hali ilivyo tete.

Ukiangalia mikutano ya PM na mama isiyokuwa na wasanii na maroli utagundua namna CCM ilivyo na hali mbaya.

Sasa Kikwete anaingia ulingoni kuokoa jahazi kama Hayati JK kipindi cha marehemu Mkapa. Vipi ataweza mziki huu? Asipopewa wasanii na maroli ataweza? Japo nguvu ya Kikwete siyo ya kubeza ukizingatia watanzania tulivyommiss na sifa alizomwagiwa na wapinzani kipindi hiki.
Wewe kama uliajiriwa kazi ya ufariji endelea kujifariji tu ila october sio mbali
FB_IMG_1599417604747.jpg
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na ukweli lazima tuuseme hadharani, CCM ina hali mbaya na inazidi kuwa tete kila uchao.

Wamejaribu kutumia viongozi wa dini kusifu na kuabudu juhudi, ngoma imegoma. Alichokipata PM huko alikoenda wote tumeona na hata mikutano ya mama isiyokuwa na wasanii tunaona hali ilivyo tete...
Awe mwangalifu la sivyo atapoteza mvuto wote.
 
Siku hizi hakuna fahari Kuna JF member. Hakuna Great Thinkers kabisa..
Suala la Kikwete kushiriki Kampeni ni suala la utamaduni tangu enzi,
Nyerere alishiriki Kampeni akiwa mstaafu, Mwinyi alifanya hivo, Mkapa alifanya hivo sasa kwa Kikwete AJABU iko wapi..
Elewa mantiki ya ushiriki wa Nyerere kwa Mkapa au JK kwa Magu mitano ya kwanza.
Tofauti na sasa ambapo kumshabikia Magu tena ni kujipaka uchafu
 
Huo ndiyo ukweli, hata kama Lisu atashindwa kwa 100%, hawezi kutangazwa mshindi. Siyo kwa wizi wa kura , hapana, ni tume kulazimisha matokeo ya kidhalimu kama livuokuwa zanzibar. Ccm haiwezi kushinda kihalali hata siku moja.
Tatizo lenu makamanda munaamini kura zitapigwa Jf, FB na twitter . Likes za mitandaoni zinamdanganya sana lissu.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na ukweli lazima tuuseme hadharani, CCM ina hali mbaya na inazidi kuwa tete kila uchao.

Wamejaribu kutumia viongozi wa dini kusifu na kuabudu juhudi, ngoma imegoma. Alichokipata PM huko alikoenda wote tumeona na hata mikutano ya mama isiyokuwa na wasanii tunaona hali ilivyo tete..
Tunashukuru kwa ndoto za mchana
 
Ukifuatilia kampeni zinazoendelea haswa za wagombea urais utabaini kuna baadhi ya wagombea tayari wameshatepeta au kwa lugha nyepesi wamesha choka, ila utabaini kuwa japo magufu anatumia sana usafiri wa gari na kampeni za mkoa kwa mkoa wilaya kwa wilaya lk bado anaonekana ana energy/nguvu ya kutosha kila anapo pita.

Mpaka sasa katika wagombea wote wa urais Magufuli ndiye pekee amehutubia mikutano ya kampeni mingi zaidi kuliko wengine lkn angalia "energy" aliyo nayo utadhani ndio kwanza kaaza

Anaonesha kuwa ni kiongozi imara mwenye nguvu ya kupambana...kwa lugha nyingine ni mpambanaji asiye choka.

"Jeshi la mtu mmoja......kama watu mia"
 
Back
Top Bottom