Siku hizi hakuna fahari Kuna JF member. Hakuna Great Thinkers kabisa.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na ukweli lazima tuuseme hadharani, CCM ina hali mbaya na inazidi kuwa tete kila uchao.
Wamejaribu kutumia viongozi wa dini kusifu na kuabudu juhudi, ngoma imegoma. Alichokipata PM huko alikoenda wote tumeona na hata mikutano ya mama isiyokuwa na wasanii tunaona hali ilivyo tete..
Suala la Kikwete kushiriki Kampeni ni suala la utamaduni tangu enzi.
Nyerere alishiriki Kampeni akiwa mstaafu, Mwinyi alifanya hivo, Mkapa alifanya hivo sasa kwa Kikwete AJABU iko wapi.