Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Tangu tupate uhuru hakuna raisi kawahi kupata 100%. Hata Nyerere na kupendwa kote kule hakuwahi kupata 100%
Tukiachilia mbali kile KIWANDA CHA MATUSI. NA KIKI ZA MIUJIZA, nani mpinzani wa Jemadariii ,MAGUFULI??
hata hizi kampeni anazofanya Magufuli nikutimiza wajibu tuuuu. Hata akiamua kujitulia ikulu ushindi wa asilimia mia, ukopale pale.
 
Tangu tupate uhuru hakuna raisi kawahi kupata 100%. Hata Nyerere na kupendwa kote kule hakuwahi kupata 100%
Kwa mara ya kwanza toka uhuru Magufuli atafungulia dimba kwa kupata asilimia miamojaa.

Maana toka uhuru hatujawahi ona kipindi ambacho ccm hakuna upinzani kama kipindi hiki.
 
Naona Bashiru ametoa Order kuwa kila kada wa CCM mwenye akaunti Twitter anapaswa kumnadi Magu, la sivyo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

Mambo ni magumu huko field.
Raia wamekuwa wagumu.
Wanaonadi chama mitandaoni ni wapinzani, mfano kama humu JamiiForums, CCM ilishashiiinda muda mreefu.
 
Tokazamani magufuli anaongea lugha mbali mbali hata lugha yako anaiweza tu.

Achalia mbali mzeee wa kiki na miujiza mwenye lafudhi ya Kinyatulu.

Sheria za uchaguzi haziruhusu kutumia kilugha. Kapanick ndio maana anaongea kilugha kusaka huruma ya wasukuma wakati sio Msukuma.
 
Sheria za uchaguzi haziruhusu kutumia kilugha. Kapanick ndio maana anaongea kilugha kusaka huruma ya wasukuma wakati sio msukuma.
Sheria gani inayozuia mtu kuongea lugha inayoeleweka kwa ummaa?

Tulienii sindano iwaingie, mlipeleka kiwanda cha matusi mwanza mlidhani kanda ya ziwa wanataka matusi, na jazba na kupayukapayukaaa?
 
Tukiachilia mbali kile KIWANDA CHA MATUSI. NA KIKI ZA MIUJIZA, nani mpinzani wa Jemadariii , MAGUFULI??
hata hizi kampeni anazofanya Magufuli nikutimiza wajibu tuuuu. Hata akiamua kujitulia ikulu ushindi wa asilimia mia, ukopale pale.
Hujui maana ya asilimia mia rudi kwa mwalimu wako.
 
Your browser is not able to display this video.

Sheria gani inayozuia mtu kuongea lugha inayoeleweka kwa ummaa?

Tulienii sindano iwaingie, mlipeleka kiwanda cha matusi mwanza mlidhani kanda ya ziwa wanataka matusi, na jazba na kupayukapayukaaa?
Tukiwa waungwana kutumia kilugha chako kwenye kampeini ni ukabila maana unatafuta huruma ya kabila lako kwa kuzungumza lugha yao.

Kilugha kitumike wakati wa kusalimia tu maana kwenye mikutano hiyo siyo wote wanajua lugha ya mamaako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…