Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
NEC na policcm si wapo watampa tuu 100%Tukiachilia mbali kile KIWANDA CHA MATUSI. NA KIKI ZA MIUJIZA, nani mpinzani wa Jemadariii ,MAGUFULI??
hata hizi kampeni anazofanya Magufuli nikutimiza wajibu tuuuu. Hata akiamua kujitulia ikulu ushindi wa asilimia mia, ukopale pale.
Alitumia 2015 dhambi iko wapi kutumia 2020 kwa unataka kusema Tundu Lissu kuvaa kanzu na balagashia anatafuta huruma ya waislamu acheni upumbavu wa siasa za bei nafuuTukiwa waungwana kutumia kilugha chako kwenye kampeini ni ukabila maana unatafuta huruma ya kabila lako kwa kuzungumza lugha yao .
Kilugha kitumike wakati wa kusalimia tu maana kwenye mikutano hiyo siyo wote wanajua lugha ya mamaako.
Naona Bashiru ametoa Order kuwa kila kada wa CCM mwenye akaunti Twitter anapaswa kumnadi Magu, la sivyo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.
Mambo ni magumu huko field.
Raia wamekuwa wagumu.
Maendeleo hayana chamaSi mara moja wala mara mbili nimesikia hasa katika matukio ya uzinduzi viongozi waliopewa dhamana na JPM mwenyewe wakimuaminisha kuwa kazi ameshaimaliza hana haja ya kuzunguka 2020.
Sasa hivi wanapoyaona haya wana yapi tena ya kumuambia? Wana ujasiri wa kusema lolote tena? Au ndio wanamuambia tulia mzee haka ni kaupepo tu kanapita?
Yani wamelegea utafikiria samaki aliechina,ccm kinabebwa na nec,policeccm,tiss bila hivyo kinasahaulika milele...hii ndio hali ya leo mwanza wamejaza watoto tu mabasi ya zuberi, zakaria, macoaster ndio yalikua yanasomba tu watoto View attachment 1562261
FIESTA CCMAnayeligawa Taifa ni lissu anayetumiwa na Mabeberu
Hapa haya mataga yameambiwa buku 7 zitatolewa baada ya mkutano ndiyo maana yanakomaa hapo ni saa 12 jioni na yalibebwa kwenye malori kuletwa hapo mkutanoni asubuhi saa kumi.
Ngoja waje wenyewe wasemeSi mara moja wala mara mbili nimesikia hasa katika matukio ya uzinduzi viongozi waliopewa dhamana na JPM mwenyewe wakimuaminisha kuwa kazi ameshaimaliza hana haja ya kuzunguka 2020.
Sasa hivi wanapoyaona haya wana yapi tena ya kumuambia? Wana ujasiri wa kusema lolote tena? Au ndio wanamuambia tulia mzee haka ni kaupepo tu kanapita?
Unapoteza muda bure Mkuu, hiyo serikali ya WATEKA NYARA imechokwa mno kwa sasa. Umati wa kwenye mikutano yake ni wanaofuata BURUDANI TU.mpinzani wa ccm ni ccm wenyewe! ili kue na upinzani mzito lazima mgombea upinzani atoke ccm , bila hapo tunaenda mpaka 2100, mtajipa moyo sana lakini ata akisema asiendelee na kampeni ana ushindi mzito kwahio mwache atekeleze wajib tu
Wakati wa Lowasa mlisema hivi hivi??mpinzani wa ccm ni ccm wenyewe! ili kue na upinzani mzito lazima mgombea upinzani atoke ccm , bila hapo tunaenda mpaka 2100, mtajipa moyo sana lakini ata akisema asiendelee na kampeni ana ushindi mzito kwahio mwache atekeleze wajib tu
Wakati wa Lowasa mlisema hivi hivi??
Unapoteza muda bure Mkuu, hiyo serikali ya WATEKA NYARA imechokwa mno kwa sasa. Umati wa kwenye mikutano yake ni wanaofuata BURUDANI TU.
Si mara moja wala mara mbili nimesikia hasa katika matukio ya uzinduzi viongozi waliopewa dhamana na JPM mwenyewe wakimuaminisha kuwa kazi ameshaimaliza hana haja ya kuzunguka 2020.
Sasa hivi wanapoyaona haya wana yapi tena ya kumuambia? Wana ujasiri wa kusema lolote tena? Au ndio wanamuambia tulia mzee haka ni kaupepo tu kanapita?
Unapokuwa umefanikiwa uko level yajuu watu wabaya kwako ni wapambe rejea hotuba ya mwalimu Nyerere alipotaka kung'atuka wapambe walivomshauri kuwa nchi bado changa kumbe nchi wanayoisema wapambe ni familia zao. Katika marais wote waliopita Rais mwenye wapambe wabaya ni Magufuli inabidi awe makini nauhakika wanamshauri hata kujiongeza mudaSi mara moja wala mara mbili nimesikia hasa katika matukio ya uzinduzi viongozi waliopewa dhamana na JPM mwenyewe wakimuaminisha kuwa kazi ameshaimaliza hana haja ya kuzunguka 2020.
Sasa hivi wanapoyaona haya wana yapi tena ya kumuambia? Wana ujasiri wa kusema lolote tena? Au ndio wanamuambia tulia mzee haka ni kaupepo tu kanapita?
Bahati nzuri, Magufuli anaongea Lugha zote. Na hakuna sheria yoyote inayozuia. Kikubwa mtu asiongee lugha zisizoeleweka, au za kuudhi mfano kama yule jamaa yenu mzee wa kutukana watumishi wa umma nakupayukapayuka ovyoTukiwa waungwana kutumia kilugha chako kwenye kampeini ni ukabila maana unatafuta huruma ya kabila lako kwa kuzungumza lugha yao .
Kilugha kitumike wakati wa kusalimia tu maana kwenye mikutano hiyo siyo wote wanajua lugha ya mamaako.
Endeleeni kujifariji, majibu kwenye sanduku la kuraAisee CCM na JPM wao wana hali mbaya sana. Si bara si Zanzibar.
Kwa hali niliyoiona leo Zanzibar kwenye mkutano wa Lissu ni dhahiri CCM lazima wanyooshe mikono mwaka huu!
Sasa ni wazi!! Uchaguzi wa kihistoria Tanzania ni mwaka huu!
Mmmh ningumu kushinda kwa asilimia 100 bado naona Kuna upinzani mkubwaTukiachilia mbali kile KIWANDA CHA MATUSI. NA KIKI ZA MIUJIZA, nani mpinzani wa Jemadariii ,MAGUFULI??
hata hizi kampeni anazofanya Magufuli nikutimiza wajibu tuuuu. Hata akiamua kujitulia ikulu ushindi wa asilimia mia, ukopale pale.
La msingi siyo matukio ya majukwaani bali nini wasikiacho wanaohudhuria ili wachambue pumba na mchele.Si mara moja wala mara mbili nimesikia hasa katika matukio ya uzinduzi viongozi waliopewa dhamana na JPM mwenyewe wakimuaminisha kuwa kazi ameshaimaliza hana haja ya kuzunguka 2020.
Sasa hivi wanapoyaona haya wana yapi tena ya kumuambia? Wana ujasiri wa kusema lolote tena? Au ndio wanamuambia tulia mzee haka ni kaupepo tu kanapita?