Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

ALITUMIA 2015 DHAMBI IKO WAPI KUTUMIA 2020 KWA UNATAKA KUSEMA TUNDU LISU KUVAA KANZU NA BALAGASHIA ANATAFUTA HURUMA YA WAISLAMU ACHHENI UPUMBAVU WA SAIASA ZA BEI NAFUU
Capital letters ni kichefuchefu mbele ya jamii ya wasomi!
 
Hebu wana jamvi kwa kifupi tu tujaribu kujifanya kama tuko na mheshimiwa JPM tuna mshauri kitu cha kufanya ili watu wawe na furaha kama wanavyosema hawana furaha hebu tumshauri afanye nini maana tusiwe tunalaumu tu huku hatujui afanye nini ili mambo yaende vizuri kwa watu haya tuanze kujadiri

jf
 
hebu wana jamvi kwa kifupi tu tujaribu kujifanya kama tuko na mheshimiwa jpm tuna mshauri kitu cha kufanya ili watu wawe na furaha kama wanavyosema hawana furaha hebu tumshauri afanye nini maana tusiwe tunalaumu tu huku hatujui afanye nini ili mambo yaende vizuri kwa watu haya tuanze kujadiri

jf
Ashaambiwa vya kufanya ila anajitoa fahamu kwa sababu ya kuwa na kijicho
 
Hebu wana jamvi kwa kifupi tu tujaribu kujifanya kama tuko na mheshimiwa JPM tuna mshauri kitu cha kufanya ili watu wawe na furaha kama wanavyosema hawana furaha hebu tumshauri afanye nini maana tusiwe tunalaumu tu huku hatujui afanye nini ili mambo yaende vizuri kwa watu haya tuanze kujadiri

jf
Alisema hashauriki,tena ukimshauri ndio umeharibu kabisaa!
 
Tukiachilia mbali kile KIWANDA CHA MATUSI. NA KIKI ZA MIUJIZA, nani mpinzani wa Jemadariii ,MAGUFULI??
hata hizi kampeni anazofanya Magufuli nikutimiza wajibu tuuuu. Hata akiamua kujitulia ikulu ushindi wa asilimia mia, ukopale pale.
Hili linaweza kabisa kwani yeye tayari ana matokeo mfukoni, huku kutembea anatimiza mradi tu.
 
Hebu wana jamvi kwa kifupi tu tujaribu kujifanya kama tuko na mheshimiwa JPM tuna mshauri kitu cha kufanya ili watu wawe na furaha kama wanavyosema hawana furaha hebu tumshauri afanye nini maana tusiwe tunalaumu tu huku hatujui afanye nini ili mambo yaende vizuri kwa watu haya tuanze kujadiri

jf
Kuna nyuzi nyingi sana humu watu walimshauri sana juu ya kukandamiza sekta binafsi, kukandamiza wafanyabiashara wakijua kuwa ajira nyingi zinatoka huko! Mwishoni waliishia kutukanwa na kuitwa wapiga dili.

Mbaya zaidi akasema wazi kuwa hashauriki na yeye ni Jiwe kweli. Sasa wenye akili wameamua kumuonesha kweli. Na yeye ndo atakuwa raisi Polee kuhudumu miaka 5 tu.
 
Huyo jama yenu alikusudia kabisa kumnadi mgombea wa act wazalendo, msihamishe magolii.
Huku akihutubia idadi kiduchu ya watu. Alidhani kule nako wanashoboka na KIKI za miujizaa
We uko wapi tangu wakati wa mchakato mbona hilo lilojadiriwa, jaribu kugoogle uone
 
Shida ni kwamba wapambe walimuaminisha mzee baba kwamba mambo ni fresh. Sasa mzee baba katoka kwenye theory kaja kwenye practical, anakutana na hali halisi, against uongo wa wapambe wake akina Kabudi, Kibajaji, Ndugai nk, wanaomsifu hata anapokwenda kombo. 🤣 🤣 🤣. 🤣. I am sure kuna kitu anajifunza, in a hard way!
Ndio maana mzee baba anapaniki kila uchao
 
Magufuli JPM Dr.Hon amekuwa rais wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.

Katika kipindi hiki cha kampeni kila alikopita amekutana na ukweli mchungu kuhusu hali halisi ya maisha ya watanzania.Kwa kiasi kikubwa nchi imebadilika negatively...
Ameshachelewa huyo..atajifunzia nje ya ulingo
 
Bashiru alisema "hakuna msanii atachukuliwa katika kampeni za ccm 2020" lakini hali imekuwa tofauti.
 
Hebu wana jamvi kwa kifupi tu tujaribu kujifanya kama tuko na mheshimiwa JPM tuna mshauri kitu cha kufanya ili watu wawe na furaha kama wanavyosema hawana furaha hebu tumshauri afanye nini maana tusiwe tunalaumu tu huku hatujui afanye nini ili mambo yaende vizuri kwa watu haya tuanze kujadiri

jf
Wewe umeona wapi jiwe likishauriwa na jiwe kaziyake nikutupwa tu popote kule.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwangu Mimi, kosa lake kubwa Ni kuropoka kauli zifuatazo.

1. Ndugu zangu, uRais Ni ngumu.
2. Nilisukumiziwa uRais.

Swali, kama kauli ya Kwanza na ya pipi zilitoka moyoni, kwa Nini anagombea tena?
 
Mmebanwa mbavu mpaka mmekurupuka kutangaza ajira za walimu 13,000!Na bado,mpaka kampeni ziishe mtakuwa mmebaki kama mijusi!
Mbona hizo ajira kila bajeti, huwa zinatoka? Mwezi juzi madaktari wameajiliwa hukusikia??
We uko wapi tangu wakati wa mchakato mbona hilo lilojadiriwa, jaribu kugoogle uone
Kwa hiyo Mimi nimgoogle huyo jamaa yenu, Si afadhali nitumie bando kumgoogle membee. Maaana nikiharibu bando langu kumgoogle jamaa yenu, nitakutana na speech ya mitusiii adi tajuta.
 
Mbona hizo ajira kila bajeti, huwa zinatoka? Mwezi juzi madaktari wameajiliwa hukusikia??
Kwahyo Mimi nimgoogle huyo jamaa yenu, Si afadhali nitumie bando kumgoogle membee. Maaana nikiharibu bando langu kumgoogle jamaa yenu, nitakutana na speech ya mitusiii adi tajuta.
Inafanana na mitusi mliyokuwa mkimtukana EL?
 
'Nikiwa raisi kuna watu wataishi kama mashetani' ni wakati wa kuwa na kiongozi mwenye hekima na busara aweze kututoa hapa tulipofikia kama Taifa.
 
Back
Top Bottom