chelakalekwa
Member
- Jul 11, 2015
- 43
- 33
Usingizi mkubwaTukiachilia mbali kile KIWANDA CHA MATUSI. NA KIKI ZA MIUJIZA, nani mpinzani wa Jemadariii ,MAGUFULI??
hata hizi kampeni anazofanya Magufuli nikutimiza wajibu tuuuu. Hata akiamua kujitulia ikulu ushindi wa asilimia mia, ukopale pale.
UPI huo,mmmh ningumu kushinda kwa asilimia 100 bado naona Kuna upinzani mkubwa
Watz tuache mazoea na Wala sisi si wa kwanza nchi sio chama nchi Ni katiba chama chochote,mtu yeyeto miongoni mwetu tunayemuamini anaweza akawa kiongozi wetu.Ccm wameshindwa 60 yrs kuleta mabadilikoCha msingi ni kuachia tu wengine watawale tuone tofauti.
siyo simba na yanga hii,,,,CCM inahali mbaya ipiiiii, maaaana sioni wapinzani wowotee, wapinzania wa CCM asilimia kubwa wako wananadi KIKI badala ya kunadi sera zao.
Watawatoa mashehe ili kupooza joto. Ile ni dhuluma na uonevu kumuweka ndani mwanadamu mwenzio 8yrs bila kumshtaki ili kumuharibia au kuwatisha wengine,wakati ukuta matumizi ya nguvu yalifaa miaka ya 70 na sio kizazi hiki.Aisee CCM na JPM wao wana hali mbaya sana. Si bara si Zanzibar.
Kwa hali niliyoiona leo Zanzibar kwenye mkutano wa Lissu ni dhahiri CCM lazima wanyooshe mikono mwaka huu!
Sasa ni wazi!! Uchaguzi wa kihistoria Tanzania ni mwaka huu!
Chadema hawana mgombea makini ambaye angeleta upinzani. Zaidi aliepo amejaa kiki za miujiza , hana lolote.siyo simba na yanga hii,,,,
Achakulialia, mwaka huuu hakuna upinzani. Zaidi ni kiki na matukio yakutengeneza ilikusaka huruma ya kuchaguliwaaa.Watawatoa mashehe ili kupooza joto.
Ile ni dhuluma na uonevu kumuweka ndani mwanadamu mwenzio 8yrs bila kumshtaki ili kumuharibia au kuwatisha wengine,wakati ukuta matumizi ya nguvu yalifaa miaka ya 70 na sio kizazi hiki.
Check kwa mfano tuliwaambia acheni kamakamata ya wapinzani kila siku Mbowe kakamatwa Mara sijui Nani kakamatwa.Mnawajengea usugu wa kuzoea kukamatwa na wakishakuwa sugu wa kukamatwa awatoogopa Tena kukamatwa.Nguvu katu haiwezi uwa upinzani.Njia pekee ya kuuwa upinzani ilikuwa ni kushusha madaraka kwa wananchi sikiliza vilio vya wananchi wanataka nini je kipaumbele Chao ni ndege,ikulu mpya, kuijenga chato, kukamilisha ndoto za Nyerere za wakati ule usio tija kwa kizazi cha sasa.
Kuongoza kizazi cha sasa kwa falsafa za miaka ya 60 ni lzm zilete crash.Eti unamuenzi Nyerere kwa Kodi za kizazi cha sasa ambacho kimezaliwa Nyerere alishakufa hata akimjui umsoma kwenye history ujawatendea haki.Kizazi Cha Sasa kinataka bongofleva singeli we unakiletea funky na break dance za miaka ya 70 haviendani.
Ccm wanechimba kaburi wao wenyewe. Sasa acha wazikwe tu. Hakuna huruma kwaoWatawatoa mashehe ili kupooza joto.
Ile ni dhuluma na uonevu kumuweka ndani mwanadamu mwenzio 8yrs bila kumshtaki ili kumuharibia au kuwatisha wengine,wakati ukuta matumizi ya nguvu yalifaa miaka ya 70 na sio kizazi hiki.
Check kwa mfano tuliwaambia acheni kamakamata ya wapinzani kila siku mbowe kakamatwa Mara sijui Nani kakamatwa.Mnawajengea usugu wa kuzoea kukamatwa na wakishakuwa sugu wa kukamatwa awatoogopa Tena kukamatwa.Nguvu katu haiwezi uwa upinzani.Njia pekee ya kuuwa upinzani ilikuwa ni kushusha madaraka kwa wananchi sikiliza vilio vya wananchi wanataka nini je kipaumbele Chao ni ndege,ikulu mpya, kuijenga chato, kukamilisha ndoto za Nyerere za wakati ule usio tija kwa kizazi cha sasa.
Kuongoza kizazi cha sasa kwa falsafa za miaka ya 60 ni lzm zilete crash.Eti unamuenzi Nyerere kwa Kodi za kizazi cha sasa ambacho kimezaliwa Nyerere alishakufa hata akimjui umsoma kwenye history ujawatendea haki.Kizazi Cha Sasa kinataka bongofleva singeli we unakiletea funky na break dance za miaka ya 70 haviendani.
Ndio mngepoteana?Chadema hawana mgombea makini ambaye angeleta upinzani. Zaidi aliepo amejaa kiki za miujiza , hana lolote.
Waliopoteana hukuwaona Jana kule Zanzibar? Badaya mzee kiki kumnadi mgombea wa chadema, kumbukumbu ika sizi gafla akamnadi mgombea wa ACT wazalendo. Hovyo kabisa.Ndio mngepoteana?
Hayo si makubaliano ya chama, na aliyemnadi wenje unamuonaje?Waliopoteana hukuwaona Jana kule Zanzibar? Badaya mzee kiki kumnadi mgombea wa chadema, kumbukumbu ika sizi gafla akamnadi mgombea wa ACT wazalendo. Hovyo kabisa.
Huyo jama yenu alikusudia kabisa kumnadi mgombea wa act wazalendo, msihamishe magolii.Hayo si makubaliano ya chama, na aliyemnadi wenje unamuonaje?
Mmebanwa mbavu mpaka mmekurupuka kutangaza ajira za walimu 13,000!Na bado,mpaka kampeni ziishe mtakuwa mmebaki kama mijusi!Tukiachilia mbali kile KIWANDA CHA MATUSI. NA KIKI ZA MIUJIZA, nani mpinzani wa Jemadariii ,MAGUFULI??
hata hizi kampeni anazofanya Magufuli nikutimiza wajibu tuuuu. Hata akiamua kujitulia ikulu ushindi wa asilimia mia, ukopale pale.
Kwa uandishi huu sidhani kama hata form four umekanyaga!Matusi nijadi yenu, na tena ndo mko nayanadi kupitia kile KIWANDA CHENU CHAMATUSI.
Tukaneniiii tuuuu kila aina ya matusiiii. Hatukotayali kupeleka kiwanda cha matusi ikulu.
Shida ni kwamba wapambe walimuaminisha mzee baba kwamba mambo ni fresh. Sasa mzee baba katoka kwenye theory kaja kwenye practical, anakutana na hali halisi, against uongo wa wapambe wake akina Kabudi, Kibajaji, Ndugai nk, wanaomsifu hata anapokwenda kombo. 🤣 🤣 🤣. 🤣. I am sure kuna kitu anajifunza, in a hard way!Naona Bashiru ametoa Order kuwa kila kada wa CCM mwenye akaunti Twitter anapaswa kumnadi Magu, la sivyo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.
Mambo ni magumu huko field.
Raia wamekuwa wagumu.