Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Jambo Zuri Sana Ni Kuwa Mchakato Umeanza Kuwachukulia Hatua, Maana Mgombea Kajionea Walimdanganya Mno
 
Walimjua anapenda kuambiwa ayapendayo wabongo wakaona fursa we check Kama wazo la kununua wapinzani badala ya kununua wapiga kura unadhani bei gani kina slow slow and company wameingiza bei gani, matamasha ya wasanii wameingiza ngapi.

Hawa ma tiss walikuwa wakimfeed uongo ili wapige hela. Huyu nadhani awajui watz atawaelewa akiwa kachelewa huku washamuharibia, wako wapi kina Bashite, Nkamia, Kange, Musiba mbona awaimbi tenzi za rohoni siku hizi kulikoni? jibu ni kwa sababu wamekosa maslahi hawana tena tumaini la kunufaika. Bashite Tena ndio ishatoka hio
 
Wazo la kununua wapinzani narudia ni wazo la hovyo la Karne kwa waliompa wazo Hilo yafaa awapige uhujumu uchumi waozee ndani milele hapa workdone ziko tu zero
 
Cha msingi ni kuachia tu wengine watawale tuone tofauti.
Watz tuache mazoea na Wala sisi si wa kwanza nchi sio chama nchi Ni katiba chama chochote,mtu yeyeto miongoni mwetu tunayemuamini anaweza akawa kiongozi wetu.Ccm wameshindwa 60 yrs kuleta mabadiliko
 
Aisee CCM na JPM wao wana hali mbaya sana. Si bara si Zanzibar.

Kwa hali niliyoiona leo Zanzibar kwenye mkutano wa Lissu ni dhahiri CCM lazima wanyooshe mikono mwaka huu!

Sasa ni wazi!! Uchaguzi wa kihistoria Tanzania ni mwaka huu!
Watawatoa mashehe ili kupooza joto. Ile ni dhuluma na uonevu kumuweka ndani mwanadamu mwenzio 8yrs bila kumshtaki ili kumuharibia au kuwatisha wengine,wakati ukuta matumizi ya nguvu yalifaa miaka ya 70 na sio kizazi hiki.

Check kwa mfano tuliwaambia acheni kamakamata ya wapinzani kila siku mbowe kakamatwa Mara sijui Nani kakamatwa.Mnawajengea usugu wa kuzoea kukamatwa na wakishakuwa sugu wa kukamatwa awatoogopa Tena kukamatwa.Nguvu katu haiwezi uwa upinzani.Njia pekee ya kuuwa upinzani ilikuwa ni kushusha madaraka kwa wananchi sikiliza vilio vya wananchi wanataka nini je kipaumbele Chao ni ndege,ikulu mpya, kuijenga chato, kukamilisha ndoto za Nyerere za wakati ule usio tija kwa kizazi cha sasa.

Kuongoza kizazi cha sasa kwa falsafa za miaka ya 60 ni lazima zilete crash. Eti unamuenzi Nyerere kwa Kodi za kizazi cha sasa ambacho kimezaliwa Nyerere alishakufa hata akimjui umsoma kwenye history ujawatendea haki.Kizazi Cha Sasa kinataka bongofleva singeli we unakiletea funky na break dance za miaka ya 70 haviendani.
 
Watawatoa mashehe ili kupooza joto.
Ile ni dhuluma na uonevu kumuweka ndani mwanadamu mwenzio 8yrs bila kumshtaki ili kumuharibia au kuwatisha wengine,wakati ukuta matumizi ya nguvu yalifaa miaka ya 70 na sio kizazi hiki.

Check kwa mfano tuliwaambia acheni kamakamata ya wapinzani kila siku Mbowe kakamatwa Mara sijui Nani kakamatwa.Mnawajengea usugu wa kuzoea kukamatwa na wakishakuwa sugu wa kukamatwa awatoogopa Tena kukamatwa.Nguvu katu haiwezi uwa upinzani.Njia pekee ya kuuwa upinzani ilikuwa ni kushusha madaraka kwa wananchi sikiliza vilio vya wananchi wanataka nini je kipaumbele Chao ni ndege,ikulu mpya, kuijenga chato, kukamilisha ndoto za Nyerere za wakati ule usio tija kwa kizazi cha sasa.

Kuongoza kizazi cha sasa kwa falsafa za miaka ya 60 ni lzm zilete crash.Eti unamuenzi Nyerere kwa Kodi za kizazi cha sasa ambacho kimezaliwa Nyerere alishakufa hata akimjui umsoma kwenye history ujawatendea haki.Kizazi Cha Sasa kinataka bongofleva singeli we unakiletea funky na break dance za miaka ya 70 haviendani.
Achakulialia, mwaka huuu hakuna upinzani. Zaidi ni kiki na matukio yakutengeneza ilikusaka huruma ya kuchaguliwaaa.
 
Watawatoa mashehe ili kupooza joto.
Ile ni dhuluma na uonevu kumuweka ndani mwanadamu mwenzio 8yrs bila kumshtaki ili kumuharibia au kuwatisha wengine,wakati ukuta matumizi ya nguvu yalifaa miaka ya 70 na sio kizazi hiki.
Check kwa mfano tuliwaambia acheni kamakamata ya wapinzani kila siku mbowe kakamatwa Mara sijui Nani kakamatwa.Mnawajengea usugu wa kuzoea kukamatwa na wakishakuwa sugu wa kukamatwa awatoogopa Tena kukamatwa.Nguvu katu haiwezi uwa upinzani.Njia pekee ya kuuwa upinzani ilikuwa ni kushusha madaraka kwa wananchi sikiliza vilio vya wananchi wanataka nini je kipaumbele Chao ni ndege,ikulu mpya, kuijenga chato, kukamilisha ndoto za Nyerere za wakati ule usio tija kwa kizazi cha sasa.
Kuongoza kizazi cha sasa kwa falsafa za miaka ya 60 ni lzm zilete crash.Eti unamuenzi Nyerere kwa Kodi za kizazi cha sasa ambacho kimezaliwa Nyerere alishakufa hata akimjui umsoma kwenye history ujawatendea haki.Kizazi Cha Sasa kinataka bongofleva singeli we unakiletea funky na break dance za miaka ya 70 haviendani.
Ccm wanechimba kaburi wao wenyewe. Sasa acha wazikwe tu. Hakuna huruma kwao
 
Waliopoteana hukuwaona Jana kule Zanzibar? Badaya mzee kiki kumnadi mgombea wa chadema, kumbukumbu ika sizi gafla akamnadi mgombea wa ACT wazalendo. Hovyo kabisa.
Hayo si makubaliano ya chama, na aliyemnadi wenje unamuonaje?
 
Hayo si makubaliano ya chama, na aliyemnadi wenje unamuonaje?
Huyo jama yenu alikusudia kabisa kumnadi mgombea wa act wazalendo, msihamishe magolii.
Huku akihutubia idadi kiduchu ya watu. Alidhani kule nako wanashoboka na KIKI za miujizaa
 
Tukiachilia mbali kile KIWANDA CHA MATUSI. NA KIKI ZA MIUJIZA, nani mpinzani wa Jemadariii ,MAGUFULI??
hata hizi kampeni anazofanya Magufuli nikutimiza wajibu tuuuu. Hata akiamua kujitulia ikulu ushindi wa asilimia mia, ukopale pale.
Mmebanwa mbavu mpaka mmekurupuka kutangaza ajira za walimu 13,000!Na bado,mpaka kampeni ziishe mtakuwa mmebaki kama mijusi!
 
Magufuli JPM Dr.Hon amekuwa Rais wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Katika kipindi hiki cha kampeni kila alikopita amekutana na ukweli mchungu kuhusu hali halisi ya maisha ya watanzania. Kwa kiasi kikubwa nchi imebadilika negatively.

Watu wamedhoofika sana kiafya. Watu wana huzuni, sononi, wasiwasi na mashaka. Kwa kiasi kikubwa nchi imekuwa kama imepigwa na bumbuazi haijui kinachotokea.

Swali la msingi ni Je Magufuli anajua ni wapi alikosea?

Kama hajui alipokosea basi anahitaji kukaa chini na kuwasikiliza wananchi wanasema nini huko anakopita kwa faida ya kuhakikisha miaka mitano ijayo anabadilika.

Asipofanya hivyo wananchi wengi wataingia katika mateso makubwa sana ambayo yeye hatajua kama wanayapitia kwa sababu hajataka kuwasikiliza.
 
andoza,
Wapambe walimuaminisha kwamba kila kitu kiko fresh. Sasa katoka kwenye theory kuja practical kukutana na zomea zomea kama za Bunda na kwingine. Hapo bado hajazomewa Mbeya kwa Sugu
 
Naona Bashiru ametoa Order kuwa kila kada wa CCM mwenye akaunti Twitter anapaswa kumnadi Magu, la sivyo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.

Mambo ni magumu huko field.
Raia wamekuwa wagumu.
Shida ni kwamba wapambe walimuaminisha mzee baba kwamba mambo ni fresh. Sasa mzee baba katoka kwenye theory kaja kwenye practical, anakutana na hali halisi, against uongo wa wapambe wake akina Kabudi, Kibajaji, Ndugai nk, wanaomsifu hata anapokwenda kombo. 🤣 🤣 🤣. 🤣. I am sure kuna kitu anajifunza, in a hard way!
 
Back
Top Bottom